WANAVYOSEMA !!! : ETI RIHANNA HANA MVUTO TENA JUKWAANI
Na Hezron Munisi
WATU Wa Mungu kuna baadhi huwa wanapenda kuwa na muonekano wa Unene, na kuna wengine huwa hawapendi kuwa na muonekano wa Unene maana huwa kuna mengi sana wanashindwa kuyafanya.
Lakini ukiachilia hilo, kuna baadhi ya wasanii wamekuwa wakiandamwa sana na maneno ya Mashabiki wao hasa wanapoamua kujiachia na kunenepa, kitua mabcho wasanii wenyewe wanaweza kukipokea kama changamoto ama kikwafanya wakawa na stress sana
RIHANNA aliwahi kuzungumziwa sana kuhusu Unene alionao kwa hivi sasa na yeye akasema kuwa haimuumizi na wala haimtatizi katika kazi zake, lakini kwa hili, imebidi waseme tu
Katika Tuzo za Grammy zilizofanyika hivi majuzi tu, waungwana wanadai kuwa Rihanna amepoteza Mvuto wa Jukwaani ukilinganisha na kipindi cha nyuma alipokuwa mwembaba...kiufupi wanasema Rihanna hawezi tena kucheza, yaani amekuwa ni mzembe.
Wengi wanadai kuwa, Kipindi Riri yuko mwembamba, alikuwa ni mtundu sana jukwaani hasa katika Perfomance zake, lakini katika hili la unene, amekuwa hawakoshi mashabiki hata kidogo
Rihanna alionekana katika hali hiyo akiwa na DJ KHALED na Bryson Tiller wakiperform wimbo wa WILD THOUGHTS katika usiku wa Tuzo Hizo
INAUMA : BINTI AJIUA LIVE ONLINE ZIKIWA ZIMEBAKI SIKU 10 AFUNGE NDOA, KISA EX-WAKE KAMTISHIA HILI .......
Na Rich Sam
WATU wa Mungu hakuna kitu kinauma kama pale unapogundua kuwa Ex wako yuko Tayari kutoa Baadhi ya Siri zako za Ndani , siku chache kabla hujafunga ndoa na Mume Mpya, kiufupi inaumiza sana
Sasa Iko Hivi
NISHA DEVIDAS, Binti Mwenye asili ya kihindi kutoka Nchini humo humo, amejiua akiwa Live kupitia kupiia Mtandao wa kijamii (haijawekwa bayana ni upi) bvaada ya kupata vitisho kuwa Ex Boyfriend wake ataanika hadharani kuwa sio BIKIRA tena, siku chache kabla hajaolewa na mwanaume mwingine Mpya
Nisha ambaye ni mzaliwa wa kijiji cha ROHINI Nchini India, alifanya tukio hilo zikiwa zimebaki siku 10 afunge ndoa na mume wake, na hii iloikuwa ni kuepusha kuadhirika pamoja na kuidhalilisha familia yake ambayo haikuwa ikifahamu kama marehemu tayari alishakutana na mwanaume kabla hajaolewa
Kwa Mujibu wa Kaka wa Marehemu, Familia yake ndiyo ilikuwa imeandaa Ndoa hiyo kwa ajili ya kuhakikisha Binti yao anaagwa na kuishi na mumewe, lakini mwisho wa Siku, Marehemu akiwa LIVE kwenye mtandao wa Kijamii, alikunywa Sumu kali na kisha kupoteza maisha yake huku mamia ya watu wakishuhudia tukio hilo.
Kaka yake anasema hivi, tunamnukuu
"Ndoa ya Dada Yangu ilikuwa ifungwe Februari 04 Mwaka huu, lakini akaamua kujiua zikiwa zimebaki siku 10. Mtu ambaye anahusika na kila kitu, ni Mwanaume ambaye alihusika kumdanganya dada yangu kuwa wafanye tendo la ndoa, kwa ahadi ya kumuoa, lakini mwisho wa siku akawa anampiga Chenga za hapa na pale, lakini tunashangaa alimuambia kuwa atamtangaza kuwa Hana BIKIRA endapo ataolewa na mwanaume mwingine. Naamini hicho ndicho kilichomuondoa Dada yangu duniani"
Hata Hivyo, baada ya kubainika kuwa amekunywa sumu, wahusika walijitahidi kumpeleka katika hospitali ya ya Wilaya ya BHANDARA ili kuokoa maisha yake, lakini bahati mbaya alikuwa ameshapoteza maisha
Related Posts :
TAARIFA KUTOKA MAMLAKA YA MAWASILIANO-TCRA
kampuni za simu za mikononi zinaruhusiwa kusajili upya laini kwa kutumia
teknolojia ya kisasa ya kielektroniki inayohusisha uchukuaji wa alama za
vidole.
Kaimu meneja mawasiliano kwa umma wa mamlaka hiyo, Semu Mwakyanjala
alisema walishafanya majaribio kuhusu mfumo huo na kuona unafaa.
Mwakyanjala alitoa ufafanuzi huo baada ya mwandishi wa Mwananchi kuuliza
kuhusu ujumbe unaotumwa kwa wateja kutoka kampuni za simu za mkononi
ukiwajulisha kuhusu usajili wa laini kwa kutumia alama za vidole.
“Ndugu mteja katika kuboresha usajili wa laini za simu alama za vidole
zitatumika kuanzia Februari 5, 2018. Kwa mawasiliano zaidi tembelea
maduka yetu,” ni ujumbe ambao umekuwa ukitumwa kwa wateja wa kampuni za
simu.
Mwakyanjala alisema mfumo huo unaotumia alama za vidole na picha ni
wenye uhakika ambao ni vigumu kughushi.
“Huu ni usajili wa kielektroniki ambao unaiwezesha kampuni na mamlaka
kupata taarifa mbalimbali za mteja kwa muda mfupi,” alisema.
Alisema TCRA imeziruhusu kampuni zote za simu za mkononi kutumia mfumo huo.
Akizungumzia mfumo huo, meneja uhusiano wa Airtel Tanzania, Jackson
Mmbando alisema kampuni hiyo itaanza kusajili kwa majaribio.
“Ni kweli tutaanza kusajili laini kwa kutumia alama za vidole kwa sababu
hiyo ndiyo njia salama ya usajili,” alisema.
Alisema katika mpango huo wa majaribio wataanza kusajili katika mikoa
minne ya Dar es Salaam, Pwani, Iringa na Singida. Pia, utafanyika
Zanzibar. “Katika mikoa hiyo tutaanza kusajili wateja wapya kwa kutumia
alama za vidole,” alisema.
Alisema baadaye wataendelea kwa wateja wengine hata ambao walishasajili
laini kupitia mfumo wa zamani. “Lengo ni kuboresha zaidi mfumo huu.”
Related Posts :
MAKUBWA !!! : MKE WA MCHUNGAJI ATUMA VIDEO YA NGONO KWA WAUMINI WA KANISA LA MUMEWE..ETI NI BAHATI MBAYA
Na Rich Sam
WAKUBWA Wa kazi tafadhari sasa sana, hasa Nyie watumishi wa Mungu ambao mnatumia Smartphone, muwe makini sana na Hizo simu zenu pamoja na vitu private ambavyo mnavihifadhi katika Simu Zenu
Nchini Ghana, Mke wa Mchungaji Maarufu sana katika Masuala ya Ibada na uhudumu wa Injili, amejikuta kwa bahati mbaya sana, akituma Video kwa Takriban waumini wote wa Kanisa la Mumewe
OSOFO MAAME, mwanamke huyo ambaye ni mke halali kabisa wa Baba Mchungaji huyo, alijikuta akiituma Video Clip hiyo ya ngono katika Group la Whatsapp la Waumini wa Mumewe, wakati dhamira yake ilikuwa ni kumtumia Mume wake ambaye ni Mchungaji
Katika video Clip Hiyo, Mama Mtumishi alionekana akichezea sehemu zake za kificho sana, na kinachosikitisha zaidi, ni kwamba wakati akiendelea kufanya uchafu huo, mtoto wake mchanga alikuwa anasikika akilia sana kutoka upande wa pili
Kinachowashangaza waumini ni kwamba, wawili hao tayari wameshafunga ndoa, sasa inawezekanaje wakaendelea kutumiana Video chafu kama hizo na mpaka inafikia hatua ya kutuma kwenye Group kwa bahati mbaya
Related Posts :
TONI BRAXTON KAJITOSA KWENYE MOVIE, NA VIPI KUHUSU NDOA YAKE NA BIRDMAN?
Na Rich Sam
WATU WA MUNGU Toni Braxton hivi sasa ameibua kitu kingine ambacho pengine tulikuwa hatukifahamu lakini kumbe ni sehemua ya kipaji chake, na ishu yenyewe ni kuhusika katika Filamu na uigizaji Moja kwa moja pia.
Siku ya Kesho, Yaani January 27, Toni Braxton anatarajia kuzindua Rasmi Filamu yake inayoitwa FAITH UNDER FIRE, ambayo inagusa Uhalisia wa shambulio la moja ya Shule kule Nchini Marekani, na ameahidi kuwa ni Filamu Nzuri ambayo itamvuta kila mtu kutizama na kufuatilia kile ambacho anaweza kukifanya Mbali na MuzikiUkiachilia mbali suala la Filamu, Toni Braxton amerudia na kusema kuwa Hajafunga Ndoa ya siri na Rapper Birdman ingawa tayari ameshavalishwa Pete ya Uchumba kwa hiyo kama mambo yataenda sawa, bais kila kitu kitakuwa mwake sana
Pia aliongeza kuwa, Kuwa na Birdman katika mahusiano yao, kumemfunza viztu vingi ikiwemo kupata Support anayoihitaji, lakini ishu ya Ndoa ya Siri haina ukweli wowowte ndani yao, lakini mambo mengine, wanaamsha fresh tu.
Related Posts :
CAITLYN JENNER ANATAKIWA KULIPA USD 800,000
Na Baba Juti
CAITLYN JENNER anatakiwa kusalimisha kiasi cha USD 800,000 kwa familia ambayo amekuwa katika mgogoro nayo ikiwa ni baada ya kusababisha ajali kipindi cha Nyuma
Kama hukuwa Unafahamu, Caitlyn alisababisha ajali ya Watu 5 kabla hajabadili jinsia na kuwa mwanamke, yaani kipindi hicho alikuwa anaitwa BRUCE JENNER
Kwa mujibu wa Taarifa kutoka Mahakamani, Caitlyn anatakiwa kuhakikisha kuwa analipa Pesa hizo kutokana na tukio alilolitenda wala kubadili jinsia hakutoweza kubadili Kesi wala kukwepa malipo, hivyo hana namna.
Katika Mkwanja huo, Mgawanyo umeshawekwa wazi ambapo USD 500,000 zinatakiwa kumfikia ELGA MAURER ambaye alijeruhiwa vibaya katika upande wa Mgongo kutokana na ajali hiyo, Wazazi ambao ni PETER na LEAH WOLF-MILLESI ambao pia watapokea USD 100,000 kila mmoja, na watoto wao watapokea USD 50,000 kila mmoja
Related Posts :
25TH JANUARY : OPPOSITE DAY
DAYS OF THE YEAR
Opposite Day is the worst day for not saying anything to the people far away from you. You can’t have fun today, as nothing is allowed and nobody wants to have fun with you. Of course, on Opposite day, all of that means the opposite! It’s the best day to talking to the people close to you, having fun is the absolute most important thing you can do, and everyone is going to want in on it! Opposite Day may be infuriating for some, but it can be the best (worst?) fun you’ll have all year!
History of Opposite Day
Opposite Day is particularly popular among children, who enjoy the kind of absurdity that can happen when everything you say is backwards. This kind of thing can open the mind to some incredibly diverse ways of thinking, and its stimulating trying to keep up with everyone saying the opposite of what they actually mean. The more cynical of us may wonder how this is any different from the rest of the year.
Opposite day requires mental dexterity, a quick wit, and the ability to pick words we may not use every day out of the cobwebbed recesses of our brain. Not only that, but some of the things we may be overheard saying to our friends and coworkers may be nothing short of outrageous! Be careful though, you want to make sure the people you’re talking to know its opposite day, or you may wind up hurting someone’s feelings.
Opposite day has shown up in a lot of different forms of media, from Spongebob Squarepants, where Spongebob uses the nature of the day to try to prevent his neighbors from stopping the sale of his house, to the Grim Adventures of Bill & Mandy where they celebrated the madness of this very special day, and tried to remain sane through it all!
How to Celebrate Opposite Day
It starts with revving your brain up to be ready for a day of opposite sayings! When you like something say how much you hate it. Tell someone how delicious something with a bitter face, and then spit it out. There are millions of ways you can twist your tongue around words that are antonyms of what you mean! You can tell people what a nice night it is when you actually mean what a nice day it is, and tell them that you’ll see them yesterday when you leave for the night! Opposite Day is a terrible.. I mean great… I mean terrible time for everyone!
Related Posts :
WASTARA: KUNA MAKUNDI YALIKAA NA KUSEMA WASTARA HAUMWI, ANACHANGISHA TU PESA (AUDIO)
Na Rich Sam & Global Publishers
WENGI tunafahamu kabisa kuwa Msanii katika Ulimwengu wa Filamu za kitanzania , WASTARA JUMA siku kadhaa alilalamika kuwa Mguu wake ambao ulipata ajali na kukatwa, ulikuwa na matatizo mengine ambayo aliyafafanua na tuliweka wazi pia kupitia harakati zetu za kukuhabarisha
Lakini baada ya Wadau mbali mbali kujitokeza na kutoa michango yao, hatimaye Wastara amejitokeza tena na kuweka wazi huku akiwashukuru sana kwa kujitoa katika kupigania afya yake, kwa hali na mali.
Pia weastara hakusita Kutoa Kiwango cha Mkwanja ambao mpaka hivi sasa umeshapatikana sanjari na kiwango ambacho kimebakia, kama anavyosikika hapa
Tofauti na hayo, Wastara pia ameweka wazi kuwa, kumekuwa na makundi ya Wasanii mbali mbali ambao wamekuwa wakisambaza taarifa negative kuwa yeye haumwi bali anachangisha watu fedha kwa ajili ya matumizi mengine kitu ambacho amekikanusha kabisa, kama anavyosikika hapa
Related Posts :
AUDIO : RICH HOMIE QUAN ADAI KUWA MZIKI WA KENDRICK LAMAR NI WA KUFANYIA MAZOEZI, HAUWEZI KUPIGWA CLUB
Na Rich Sam
SIJUI kama kauli hii itawakwaza mashabiki wa Rapper KENDRICK LAMAR ama lah, lakini huu ndio mtazamo wa Rapper Mwenzake anayefahamika kwa jina la RICHIE HOMMIE QUAN ambaye naye pia yupo kama hayupo katika Game
Rich Homie Quan, ambaye aliwahi kuutikisa ulimwengu na "Mkwaju" wa TYPE OF WAY, amedai kwa Nyimbo za Kendrick Lamar ni maalum kwa ajili ya kufanyia mazoezi, na wala huwezi kukuta zinapigwa sehemu nyingine tofauti
Ukiachilia mbali Kufanya mazoezi tu, Rich Hommie Quan amedai kuwa mazingira anayotokea, yaani katika kitaa chake, Mikwaju kama ya Kendrick Lamar huwa haikubaliki sana, na hata ukiingia Club huwezi kukuta inapigwa hata kidogo
Kwa upande wake yeye, sio kwamba hakubali mizigo na style ya Kendrick Lamar, ila huwa anaisikiliza akiamka asubuhi, lakini hawezi kui-feel akiwa Club
Related Posts :
MUNGU OKOA JAHAZI : MEEK MILL KATIKA KESI YA TATU YA AINA ILE ILE
Na Rich Sam
MAJANGA yanazidi kumuandama Rapper ambaye pia ni mmoja kati ya Members wa familia ya MMG, Meek Mill, baada ya kufunguliwa mashtaka ya tatu sasa, dhidi ya kosa lile lile, yaani KURUSHWA RISASI NA KUJERUHI KATIKA TAMASHA LAKE
Muungwana mmoja ambaye anafahamika kwa jina la DYLAN THOMAS, amefungua Mashtaka dhidi ya Rapper huyo mwenye umri wa miaka 30 kwa hivi sasa, akimtuhumu kuhusika katika Kujeruhiwa kwake kwenye tamasha la CONNECTICUT lililofanyika December 2016 baada ya kutokea shambulio na kusikika kwa Milio ya Risasi
Pia katika mashtaka haya Mapya, Thomas hamshtaki Meek Mill peke yake, bali hata kampuni ya OAKDALE MUSICAL THEATER, LIVE NATION, MICHAEL J WILCOX, THE BIG BOY GAME LLC na ROC NATION kwa kuhusika pia katika kujeruhiwa kwake.
Mshtaki huyo anadai kuwa, alijeruhiwa vibaya sana katika eneo la Parking huku akiongeza kuwa tamasha hilo lilikuwa ovyo ovyo pasipo kujali usalama wa watu waliohudhuria, na aliumia sana katika sehemu za nje na za ndani ya mwili wake hasa baada ya kusikia mlio wa risasi
Huyo atakuwa ni mshtaki wa Tatu kwa Meek Mill katika Kosa hilo hilo, huku wa kwanza akiwa JAQUAN GRAVES ambaye alihudhuria tamasha na alipigwa Risasi katika eneo la Parking kwa nje kidogo na wazazi wake Ndio waliofungua mashtaka mwaka 2017
Wa Pili ni TRAVIS WARD ambaye naye pia alipigwa Risasi katika tamasha hilo na wazazi wake ndio waliofungua mashtaka sanjari na kufungua mengine ya mtoto wao kusingiziwa amefariki katika tukio hilo.
Related Posts :
TENA?: DRAKE HAJACHOKA MAKAHABA !!! KAMNUNULIA ZAWADI HII BINTI HUYU !!!
Na Baba Juti
Watu Wa Mungu leo ni weekend , na basi tuanzae kuliamshia Dude hapa hapa hasa kuhusiana na masuala mbalimbali, amnbayo yatakufanya u-relax na kuchill
Wengi tunafahamu kuwa Rapper Drake mwaka uliopita, umeisha akiwa na mafanikio ya aina tofauti, kubwa zaidi ikiwa ni katika Muziki wake na kuliteka soko kiujumla, Pili ni kuwa na Biashara ambazo zinamuingizia kipato kizuri yeye pamoja na watu wake wa Karibu, tatu ni kufanikiwa kuhit katika Charts kadha wa kadha kupitia hit songs ambazo kaziachi, na Nne, ni kufanikiwa kuamsha na kukutana na kashfa za makahaba ambao pia alifanikiwa kutinduana nao, kitu ambacho kilimjengea picha tofauti sana kwa mashabiki wake
Sasa ili kudhihirisha kuwa Jasiri haachi Asili, kuna bibie mmoja ambaye pia mambo yake ni kujiuza uza tu kupitia motandao ya kijamii, ambaye inasemekana kuwa amekuwa katika mahusiano ya Ndani na Nje na Rapper Drake kwa miaka kadhaa. Binti huyu anafahamika kwa jina la TIARA a.k.a KEKEY, ameanika zawadi aliyopewa na Drake
KEKEY alipost Picha yake Instagram huku akiwa ameacha baadhi ya maumbile yake wazi, hasa "Chakula ya Mtoto" na kudai kuwa Kanunuliwa Mzigo huo na Drake na kisha kufanyiwa upasuaji wa kuyapandikiza
Dhamira ya Kekey kupost "chakula ya Mtoto" kunako Instagram account yake, haikuwa kuthibitisha kuwa Drake ndiye aliyemnunulia, bali maswali yalivyozidi kumuandama, ndipo alipoamua kuweka wazi kuwa Hit Maker huyo wa HOTLINE BLING ndiye kamnunulia
Instagram @babajutiblog
Related Posts :
MAFISI : RAPPER FUTURE ANASWA AKIMNYEMELEA BINTI MWINGINE... SIJUI ATAKUWA NI WA NGAPI HUYU !!!!!
Na Baba Juti
HAKUNA mtu yeyote hapa duniania ambaye anapingana na sie kuwa Rapper Future kutoka Nchini Marekani, ni Rapper anayekubalika sana kwa kuachia Mikwaju Heavy ambayo humfanya kila mtu afungue hisia zake na hata kubang nazo sehemu yoyote
Lakini kama Haitoshi, hakuna Mtu asiyefahamu kuwa Future ni baba wa watoto wengi kutoka kwa mama tofauti ambao mpaka hivi sasa hakuna hata mmoja ambaye anaishi naye ama kutarajia kufunga naye Ndoa, akiwemo Ciara ambaye hivi sasa tayari yupo katika Ndoa yake iliyotulia tuliiii
Sasa kingine cha Nyongeza, kama ulikuwa hujui, Future bado anazidi kudhihirisha kuwa hawezi kamwe, kutulia na mwanamke mmoja hata awe na utamu ama uzuri wa aina gani, na hilo limethibitishwa hii leo na tunalianika kupitia hapa hapa.
Hit Maker huyu wa Track ya MASK OFF, ambaye alituahidi mwaka jana kuwa atabadilika na kuwa mtu mwema, asiyewaumiza na kuwakwaza watu, atakayewajali watoto wake, atakayejituma kwa hali na mali kuwafanya watu wamuamini, amenaswa akimnyemelea Binti mwingine
kama ambavyo tumewahi kuanika hapa hapa kuwa hivi sasa ana mahusiano na Ex ambaye pia ni mzazi mwenzake Bow Wow, anayefahamika kwa jina la Joie Chaviz, huku tukiamini na wao waili hasa Future akionesha kuwa wawili hao wameshibana na wana mahaba ya dhati, Lakini Future bado hajanogewa na Utamu wa bibie Huyu
Rapper huyo ambaye yuko Paris kwa ajili ya Maonesho ya Fashion, alionekana kabisa kuwa anahitaji mwanamke wa kumpa kampani na hata kuamsha naye Dude, hali iliyomfanya amnyemelee Binti mmoja mwenye asili ya ki-british, kupitia DM
Chart hiyo imeanikwa na binti huyo baada ya kuona jamaa anazidi kumtext kila mara kitu ambacho kwa upande wake hayuko tayari kukifanya, na ili kumfanya aachane na unyemeleaji huo, kaamua kumuanika moja kwa moja ili atambue kuwa kuna watu hawashoboki na mastaa wa aina yoyote hata kama wanakunya moto
Related Posts :
RACHEL KIZUNGUZUNGU AFAFANUA KUHUSU YEYE KUTOKA NA T.I.D
Na Rich Sam
WAHENGA hawakuwa Nyuma kusema kuwa Ukiona Mtu Mzima, analia mbele za Watu, basi ujue kuna jambo ambalo limemfanya abubujikwe machozi, na hii ndiyo tunaiona kwa Rachel Kizunguzungu
Hatimaye Bibi huyu hapa ambaye alikuwa na kashfa za aina tofauti tofauti huku kubwa zaidi ikiwa ni madawa ya kulevya ambayo alikiri ni kweli yalimkosesha vitu vingi ikiwemo kazi zake na hata watu wake wa karibu, ameweka bayana kuwa hakuwa na mahusiano ya kimapenzi na Msanii T.I.D kama ambavyo wengi walikuwa wakidai
Akielezea kuhusu kauli hiyo, Rachel anadai kuwa, aliumizwa pia na kauli za watu wengi kuwa Msanii huyo, yaani T.I.D ndiye aliyemfundisha kutumia madawa ya kulevya kitu ambacho kwa upande wake sio Kweli
Aidha, Rachel anadai kuwa Taarifa za kutelekezwa Dubai na Boyfriend wake, Visa Kuisha, kuswekwa Rumande huko Maskat, hazikuwa taarifa za Ukweli na kitu ambacho kilimuongezea Stress zaidi, ni namna ambavyo baadhi ya jamii zilikuwa zikimtafsiri tofauti na hata kumuuliza mara kwa mara na Maswali ya Muziki wake na kutokuachia kazi mpya
Related Posts :
HAIWEZEKANI: ETI WATU WAMELISHWA PANZI NA SIAFU KWENYE PARTY YA KUSIKILIZA ALBUM YA JUSTIN TIMBERLAKE?
Na Rich Sam
Watu Wa Mungu tunajua utaratibu wa kuandaa party ama event ndogo ya kusikiliza Album au Wimbo kwa upande wa Industry ya Tanzania, bado haujapata mwamko kiviile kulingana na uhaba wa tabia ya kuachia Album ama kukosekana kwa utamaduni wa aina hii kwa Wasanii Wetu
Lakini kwa upande wa Nje, yaani mataifa ya Nje, ukizingatia kuwa kwao ni utamaduni na ni muhimu kwa msanii kuachia Album, basi tukio hili huitwa ALBUM LISTENING ambapo wasanii mbali mbali na management zao huandaa na kuwaalika wadau mbali mbali wa muziki kwa ajili ya kuisikiliza kabla haijaachiwa
L:akini imekuwa ni tofauti kwa Msanii JUSTIN TIMBERLAKE ambaye husifika sana kwa kuachia Hit Songs kadha wa kadha, ambaye amefanya Event ya Album Listening kwa kuwalisha watu Vyakula vilivyo katika Mfumo wa PANZI na SIAFU
Kama ulikuwa hufahamu, Justin Timberlake ambaye ni hitmaker wa Track ya SUIT & TIE aliyomshirikisha Jay Z, anatarajiwa kuachia album yake aliyoipa jina la MAN OF THE WOODS, na event hiyo ilikuwa katika Muonekano wa aina yake
Wahudhuliaji wanadai kuwa Event hiyo ilidizainiwa na Miti mbali mbali, Mbao mbao, vichaka vya hapa na pale, yaani muonekano wa porini kabisa
Ukiachilia mbali muonekano huo, Pia menyu ya msosi ilikuwa na Vyakula ambavyo vilikuwa katika muonekano wa Panzi na Siafu na mengineyo ya pirini, kitu ambacho baadhi walishtuka awali lakini baadaye wakafurahia hali halisi ilivyokuwaSambamba na hayo yote, Baadhi ya wadau wanasema kuwa hawakuona kitu chochote cha Suprise katika album hiyo ukilinganisha na walivyotarajia kuwa pengine atafanya Makubwa sana
Cha msingi tusubiri tuopne kama kweli utamu umo ama ni namna gani Vipi
@babajutiblog
Related Posts :
WHAT !: MDOLI MPYA WA KUFANYA MAPENZI HUU HAPA
Na Baba Juti
Watu Wa Mungu bwana Kuna mambo yanaendelea na kama hamfahamu basi mnapitwa sana. Yaani ni balaa huku Duniani
Kampuni ya CES, kwa mwaka huu 2018, imetambulisha Mdoli wa Kufanya Naye Mapenzi, maarufu kama SEX DOLL ambaye anaonekana kiuhalisia kabisa kama Binadamu ama Mwanamke
Kupitia Mbunifu na Mgunduzi wa Mdoli huo ambao umekuwa ni Topic kubwa sana kwenye Mitandao ya kijamii, MATT McMULLEN amedai kuwa, ujio wa Mdoli huo, unaepusha Vitu vingi ikiwemo maambukizi ya Magonjwa ya Zinaa pamoja na kuondoa Upweke Sanjari na Stress ambazo mwanaume huzipata akiwa katika Mahusiano ya kimapenzi
Matt ameongeza kuwa, tofauti ya Sex Doll wao na makampuni mengine, ni kwamba huyu unaweza kumbadilisha Muonekano wa Sura, macho , Mdomo, Pua, Mwili, Nywere, Rangi ya Ngozi na mengineyo mbali mbali
Na Zaidi ni kwamba, Mdoli huyu wa kufanya mapenzi ambaye anamuonekjana unaendana na Mwanamke kabisa, unaweza kufanya mapenzi na mwanaume kwa Zaidi ya Saa Moja
Related Posts :
TAYARI: AMBER ROSE KATHIBITISHA KUPUNGUZA MATITI YAKE LEO
Na Rich Sam
Watu Wa Mungu kama ahadi imetolewa basi inakuwa ni vema ikatimizwa ili angalau tuweze kuweka ukweli na uaminifu kwa wale ambao tunawaahidi
Hatimaye Amber Rose, Ex na Mzazi mwenzake Wiz Khalifa ambaye hivi sasa anakunjuka na Rapper 21 Savage, amethibitisha kuwa tayari yuko katika hatua za kufanyiwa upasuaji wa kupunguza "Matiti" yake
Kwa mujibu wa Post aliyopost kunako Insta Video, Amber Rose siku ya jana aliandika kuwa, Leo, atapunguzwa Mzigo ambao ameuwa nao kwa muda sasa, ili kumfanya awe comfortable maana anahisi kabisa kuwa anahitaji mabadiliko katika Mwili wake
Related Posts :
SMART: KUTANA NA DEREVA MATATU (DALA DALA ZA KENYA) AMBAYE NI SMART BALAA !!!!
Na Owuno-Kenya
Kutana na JAMES MAINA, moja kati ya Wakongwe wa Kuendesha Matatu (Dala Dala za Kenya) ambaye amejichukulia Umaarufu kwa Kuvaa vizuri kupita Maelezo na hata Kumatch nguo zake na kila kitu, yaani Simu, Miwani, na mengineyo
Maina anadai kuwa, Kipindi cha Nyuma alikuwa ana shati moja tu, na alipokuwa aklimaliza kazi, basi alikuwa analifua na hakuna ambaye angegundua kuwa amevbaa kauka nikuvae, sababu alikuwa Mtyu msafi sana
Pia anaongeza kuwa, Zamani alikuwa akionda kuazima nguo kwa Rafiki yake halafu akanyimwa, basi alikuwa anajiskia Vibaya sana, kiasi kwamba alikuwa akimuomba Mungu amnyooshee njia Siku moja
Related Posts :
NICK CANNON: MASE SIO MCHUNGAJI SAHIHI, ANAPOTOSHA WAUMINI WAKE
![]() |
| NICK CANNON : MASE sio Mchungaji Sahihi, anapotosha Watu |
Na Rich Sam
Imekuwa ni jambo zuri sana pale ambapo uansikia mtu fulani anaahidi kuokoka na kuachana na masuala mengine ambayo amekuwa akiyafanya kipindi cha Nyuma
Muendelezo huu umekuwa ukifanywa na watu wa kawaida,. lakini safarei hii tumeshuhudia hata Wasanii mbali mbali wa muziki wa kiazazi kipya na wenyewe wakifanya hivyo, na hata kufikia hatua ya kuaznisha Makanisa yao, kitu ambacho kimekuwa nikama story kubwa sana
NICK CANNON Ex wa Mariah carey ambaye pia ni mzazi mwenzake, ameamua kuweka wazi kuhusu namna ambavyo anamchukulia Rapper MASE , Ex memnber wa Bad Boys, ambaye kwa hivi sasa ni Mchungaji na anamiliki kanisa lake huko Nchini Marekani
![]() |
| MASE: Licha ya Kuwa Mchungaji na kumiliki kanisa lake, Mase amekuwa ni Mtu wa Ma-bifu ya hapa na pale, na Hivi karibuni, Mchungaji huyu aliachia Track inayomdiss Rapper mwenzake CAMRON |
Nick Cannon ambaye pia ni Muigizaji wa Filamu kadha wa kadha na Mchekeshaji pia, anasema kuwa alipohudhuria ibaada ya Mase, kuna vitu vingi aliviona ikiwemo kumshuhudia Mase ambaye kipindi cha nyuma alikuwa ni Mtu tofauti kabisa, akihubiri, lakini undani wake ni kwamba , siyo mchungaji sahihi, maana bado udunia ni Mwingi sana
Related Posts :
HAKIMU: DMX RUKSA KUSAFIRI
![]() |
| DMX |
Na Baba Juti
LICHA ya kukabiliwa na Mashtaka kadha wa kadha ya kiuhalifu na hata kupandishwa kizimbani mara kwa mara, hatimaye Hakimu amemruhusu Rapper DMX kusafiri na kufanya shughuli yake ya msingi
DMX ambaye hivi sasa ana Umri wa Miaka 47, anakabiliwa na Mashtaka ya kukwepa Kulipa Kodi huku Deni likiwa ni kubwa kiasi kwamba huenda ikamlazimu aishie Jela kutumikia Kifungo cha zaidi ya Miaka 6
![]() |
| DMX amekuwa akiandamwa na matukio mbali mbali ambayo inasadikika kuwa yameanza kumfanya asiwe sawa kisaikolojia |
Awali iliripotiwa kuwa, DM haturuhusiwa kutoka Nje ya Jiji la New York kutokana na Makosa ambayo yanamkabili, lakini hivi majuzi, hakimu ambaye anaendesha Kesi yake, amemruhusu Rapper Huyo Mkongwe kutoka New York na kwenda Hawaii kwa ajili ya Perfomance ya Show yake iliyoandaliwa huko
Ukiachilia mbali Perfomance hiyo ya Hawaii, DMX pia ameruhusiwa kuisafiri kwenda St Louis hapo Baadae mwezi huu, kwa ajili ya Perfomance yake pia, lakini kwa kuwa yuko chini ya Uangalizi, basi ataambata na Mshauri wake katika Gari lake kwa ajili ya uangalizi zaidi
Related Posts :
PARIS JACKSON: MTOTO WA MAREHEMU MICHAEL JACKSON AIBIWA NA WATU ALIOWAPATIA LIFT KATIKA GARI LAKE
Na Rich Sam
#WatuWaMungu Kama wewe una gari lako binafsi na una roho ya huruma kwa binadamu wenzio ambao wanaishi katikamazingira tofauti na hali tofauti, basi inabidi usikilize hii kwa umakini , pengine labda unaweza ukajifunza jambo fulani
Mtoto wa Kike wa Marehemu MICHAEL JACKSON, anayefahamika kwa jina la PARIS JACKSON, alijikuta katika wakati mugumu ikiwemo kuibiwa Kitu chake cha Msingi na kundi la watu ambao aliwapatia Msaada wa Lift katika Gari lake huko LOS ANGELS
![]() |
| Hitchhickers hutumia Mbinu hii kuibia watu hasa kwa kuomba Lift |
Kupitia Instagram account yake, Binti huyo mwenye miaka 19 kwa hivi sasa, alilalamika juu ya jambo hilo na kusema kuwa usamalia wema wake umemmponza na anajuta kuwapatia Lifti watu hao ambao hufahamika kwa jina la HITCHHICKERS
Katika vitu alivyoibiwa, ni pamoja na Credit Card yake ambayo huitumia katika Matumizi yake muhimu ya kifedha na mengineyo. Tunamnukuu
"Sasa, Usiku wa Jana, niliwapatia Lift Hitchhikers na binti mmoja mrembo hakuwa sawa, yaani alikuwa na matatizo. Nakumbuka nilichukua Pea za socks zangu na kumvalisha kisha tukasimama katika Sehemu ya kuuza vyakula na nikawanunulia chakula cha jioni. Kahaba huyo aliiba kadi yangu ya Benki. Sasa niliwasaidia usafiri kufika LOS ANGELS na nikajitahidi kuwa Muendesha gari kama uber hata kama mimi sio Dreva wa Uber, lakini bado mnaniibia aisee?, Mambo gani haya?"
Related Posts :
14TH JANUARY: TODAY IS INTERNATIONAL KITE DAY
DAYS OF THE YEAR
They’re pretty, they’re colorful, and they flutter and float in the air….what could they be? Kites, of course! Who could imagine a better way to spend time than with flocks of other people, every person with his or her own beautifully decorated kite? If you’re a fan of such happy, vibrant holidays, International Kite Day is not a holiday you’d like to miss.
- The History of International Kite Day
- How to Celebrate International Kite Day
If you aren’t able to be in Gujarat for International Kite Day, however, that does not mean you cannot enjoy it in your own way. A great way to do this would be to simply purchase a kite and take it to a nearby park to fly it. There is something about a breezy day spent with a kite in hand that is incredibly relaxing, so you will be able to enjoy your day anyway. In fact, if you have a child/children, perhaps this would be a great day to spend some quality time together? All too often these days parents and children rarely even speak to each other anymore, so preoccupied are both sides with their technological gadgets. A small picnic and an afternoon spent outdoors may well be just what you and you son or daughter need to have a talk and laugh together and feel close to each other.
Related Posts :
KERI HILSON : NILIJITAHIDI KUKATA WATU ILI NITENGENEZE MAISHA YANGU TOFAUTI
Na Baba Juti
MWAKA 2017 Ulikuwa ni mwaka wa ahadi nyingi sana kutoka kwa
wasanii mbali mbali ambao hawakufanya Vizuri ..sio kitaifa tu, bali hata
kimataifa
KERI HILSON ni mmoja kati yao na tulimzungumzia kwa Mengi
sana ikiwemo yeye mwenyewe kukiri kuwa yuko mbioni kuachia Hits kadhaa na
ikibidi Album kabisa, lakini ilikuwa ni tofauti na ahadi ambayo aliitoa.
Hitmaker Huyu wa TURN ME ON na LOOSE CONTROL amekuwa kimya kwa
Takriban Miaka kama Mitano au sita, kitu ambacho kilitufanya baadhi ya watu
tumsahau kidogo, lakini kumbe nyuma ya hayo yote, ilikuwa ni ushauri kutoka kwa
marehemu bibi yake ambaye alimshauri kutulia kwanza na kutengeneza maisha yake
upya, maana ni kama alikuwa ameshahisi kupagawa.
Tofauti na Hilo, Keri anadai kuwa, Ilimlazimu kukata baadhi
ya marafiki na watu waliokuwa karibu naye maana ilikuwa ni kama wanampa Prersha
tu na hata kumpa Stress, kitu ambacho kilimlazimu ajikute akifanya matukio ya
kuumiza hasa katika Saikolojia yake
Katika kukazia Zaidi, Keri Hilson anadai kuwa, kitendo cha
kuona kuwa hawezi kufika tena katika nafasi za Juu kwenye Charts tofauti za
muziki Duniani, ilimlazimu aweke kando kidogo muziki ili aweze kujiweka sawa
kabisa
Related Posts :
UBAGUZI WA RANGI: RAPPER P. DIDDY YUKO MBIONI KUMPA DEAL MTOTO ALIYEDHALILISHWA?
Na RICH SAM
WATU WA MUNGU wanasemaga kabisa kuwa, ukikutana na mabaya,
huenda ukawa umepata njia ya kukutana na mazuri hata kama utakuwa na maumivu
kiasi Gani ndani ya Mtima wako ama moyo wako kiujumla.
Kwa Mujibu wa Taarifa ambazo tumezinyaka fasta kwa hivi
sasa, ni kwamba Rapper na Mfanyabiashara kutoka Nchini Marekani, Sean Combs
maarufu kama P.Diddy huenda akamwaga Deal nono kwa Mtoto aliyefanyiwa Ubaguzi
wa Rangi na kampuni ya Mavazi ya H&M.
Taarifa hizo ambazo zimeenea maeneo lukuki, zinadai kuwa
Mtoto huyo ambaye alitumika katika kutangaza Bidhaa ya kampuni hiyo, ambayo
ilikuwa imeandikwa “THE COOLEST MONKEY IN THE JUNGLE” yaani “NGEDELE MTULIVU
NDANI YA MSITU” ilihali kijana huyo ana Ngozi Nyeusi, ni Kwamba Diddy yupo
katika harakati ya kusaini mkataba na Dogo huyo kwa ajili ya kumtumia kama
Model wa kutangaza mavazi yake ya SEAN JOHN
Kama haitoshi, inasadikika kuwa, Diddy yuko mbioni kumwaga
Kitita cha USD 1,000,000 sawa na Tsh 2,283,000,000 za kitanzania, endapo motto huyo
pamoja na familia yake watakubali kumwaga wino na yeye
Tofauti na hilo, Watu kadhaa wameshaanza kujitokeza
kutangaza Deal na motto huyo kwa gharama mbali mbali endapo atakubali.










































