HII SASA NI FUNGA MWAKA...T.I.D "MNYAMA" ASEMA BONGO FLEVA NI YA KIJINGA

Add Comment

Hii ndiyo hali halisi wapendwa...Samahani lakini...

“This Bongo Fleva Music is so stupid yaani kiasi kwamba we don’t even sell it only adios get sponsorship to play it lakini sisi tuko majalala,” aliandika TID.

TID  aliongeza, “now watangazaji sasa hivi wanatutukana and they can do anything to anyone wanaweza wakasema TiD amecopy wimbo bila ya research yoyote yaani anaweza kufanya kila kitu hana limit.”

Related Posts :

MNADANI : SIKUKUU YAKO ITAKUWA TAMU HASWAAAA.........

Add Comment

Related Posts :