INSTACOP: "SINA JEURI WALA MZAHA WA KUGEUZA TABIA MBOVU"- MR T TOCH
Na Insta Cop
#WatuWaMungu Leo Puyanga yangu imemnyaka Mr T Touch, Moja kati ya Producers ambao tayari wametengeneza Historia ya kuachia Mikwaju Mingi na hata kusumbua Akili za Watu, maana kila Hit Song, utaskia Imetoka kwa Huyu Jamaa
Sasa Bwana, sijui ni nani kamzingua huyu Mjomba, Maana sio kwa Caption hii aliyoiandika kunako Instagram account yake, na sie tukasema , walaaaaa!! tusiiache, labda Nyie wadau mnaweza kutusaidia Upelelezi
Eti Nyie Mnaonaje !!..kamuambia Nani Sasa !!!
RAPPER WA ZAMANI WA P. DIDDY AKAMATWA KWA KUSHAMBULIA WATU 4 WASIO NA HATIA HUKO ATLANTA
Na Baba Juti
#WatuWaMungu Ukisikia "WELCOME TO AMERICA" basi hali halisi ndo iko Hivyo, inabidi ujiandae kwa matukio kadha wa kadha
Rapper Mmoja ambaye anafahamika kwa jina la JODY BREEZE ametiwa Nguvuni baada ya kudaiwa kuhusika katika Shambulio lililojeruhi Watu bWanne huko Marekani kunako ATLANTA SHOPPING MALL
Kwa Mujibu wa Taarifa ambazo tuko nazo mpaka Hivi sasa, Msanii huyo ambaye alikuwa chini ya P Diddy na alikuwa akiunda kundi la BOYZ N DA HOOD, alikamatwa baada ya kudaiwa kuhusika kwa asilimia Fulani katika Shambulio hilo ambalo lilijeruhi wanaume 3 na mwanamke 1 ambao hawakuwa na Hatia
Pia inadaiwa kuwa, Shambulio hilo lilikuwa katika Connection na Biashara ya dawa Za Kulevya, kitu ambacho mpaka hivi sasa kinaonekana kumfanya Rapper huyo ambaye pia ana Beef na Young Jeezy kuwa Mikononi mwa Sheria
Related Posts :
AISEE !!!: TYGA TAYARI ANA MPENZI MPYA, ILA SASA......
Na Baba Juti
#WatuWaMungu kikitoka Kitu kinaingia kitu, ila hii style nimeipenda kwa kweli maana ina ka maana kazito ndani yake.
Wangapi mmeshapata Update yoyote ya Rapper Tyga kuwa katika Mahaba Mzito ambayo ni mapya kabisaaaa, tangu aachane na Kylie Jenner?
Sasa Shugfhuli Nzima tuko nayo, ambapo hivi sasa Rapper Huyu na hitmaker wa Mkwaju wa RACK CITY tayari yuko katika Mahusiano mengine na hivi karibuni Tyga na Binti huyo ambaye jina lake halijafahamika wala kubainika, walionekana kuwa pamoja kunako mitaa ya Marekani huku wakiwa na Furaha
Lakini Waungwana wanadai kuwa, Ishu sio Tyga kupata Mbebe Mpya, bali ni Mbebe mwenyewe , ambaye ameonekana kufanana kabisa na Ex Wa Tyga, Kylie Jenner
Kipindi cha Nyuma Kidogo baada ya kuachana na Binti kutoka katika Fam,ilia ya KARDASHIAN, Tyga aliwahi kusema kuwa "Hataki Mapenzi Tena", lakini tayari tena keshazama Kwa Binti huyu anayefanana na Kylie Jenner ambaye ndiye Ex Wake




