PICHA: LEO KATIKA WEEKEND BATTLE NDANI YA JAM SESSION YA 99.4 METRO FM
KULIA: K-Star aki-Bust Freestyle yake dhidi ya Mkali mwenzake Scale, katika WEEKEND BATTLE ya Jam Session kupitia 99.4 Metro Fm Mwanza. Yeye ndiye ameibuka Mshindi kwa Siku ya Leo. Kulia ni MENEJA Wake BABS- Mauchafu
KUSHOTO: Scale akirejesha Majibu kwa Mkali mwenzake K-Star. Kati kati ni Hasta La Vista- Frank M. Joachim
Haya Meza Moja Sasa..Jamaa kama hapatoshi Hivi
CHRIS BROWN; UBAGUZI WA RANGI UMETUMIKA
BAADA ya Hakimu kumkabidhi adhabu ya Kufanya Shughuli za Kijamii kwa Muda wa Masaa 1000, Mkali wa R&B na POP Nchini Marekani amedai kuwa aliyemchomea kwa Hakimu, ni Mbaguzi wa Rangi.
Kwa Mujibu wa Taarifa za Awali, BREEZY alikutana na Nyundo hiyo, baada ya kudaiwa kuidanganya Mahakama kuwa alifanya Adhabu ya Shughuli za Kijamii, ilihali hakufanya hivyo na alitoa taarifa Feki.
Baada ya kubaini hilo, jaji alitoa Hukumu Hiyo, ambayo ni kufidia Adhabu ambazo hakufanya, katika Kesi ya kumpa Kipigo aliyekuwa Mpezi wake RIHANNA.
Hata Hivyo Breezy hakuridhika na hilo, na badala yake kuingia kunako SITE la Tweeter na kusema haya







