RAIS KENTTA: "SUALA LA ICC NI LANGU BINAFSI"
Wakenya wamehimizwa kuzingatia maridhiano na kusameheana wakati taifa hili likijiandaa kuadhimisha miaka hamini tangu kupata uhuru.
Wito huo umetolewa na rais Uhuru Kenyatta.
Rais Kenyatta amesema kuwa licha ya changamoto kuu zinaoikabili nchi, Wakenya wanastahili kuwa pamoja na kutoruhusu changamoto za binafsi kuathiri maendeleo ya taifa.
Wakati huohuo, amerejea kauli aliyotoa kabla ya uchaguzi mkuu mwezi Machi, kwamba kesi inayomkabili ni suala lake binafsi huku akiwahimiza Wakenya kuendelea na maombi .
Amesema haya siku bili tu baada ya Baraza la Usalama la Umoja wa mataifa kukataa ombi la Umoja wa Afrika kutaka kesi ya rais na naibu wake katika mahakama ya ICC ziahirishwe.
Baada ya kukataliwa kwa ombi hilo, macho ssa yanaelezwa kwa mkutano wa mataifa 122 wanachama wa mahakama ya ICC wiki hii.
Mkutano huo utaanza tarehe 20 hadi 28 mwezi Novemba, nchini Uholanzi.
Uingereza ambayo haikupiga kura katika Baraza la Usalama la Umoja wa mataifa Ijumaa iliyopita, imesema mkutano huo wa wiki hii utatoa fursa muafaka ya kujadili suala la Kenya.
Pia Nchi ya Uingereza , ambayo ni mwanachama wa kudumu katika baraza hilo, inapendekeza mabadiliko ili rais na naibu wake wasihudhurie kesi dhidi yao, ila tu zifanyike kupitia video.
TATI NEVES- JUSTIN BABY NI BALAA KITANDANI
Najua Utakuwa unastuka kuhusu hilo Title la kwamba Bwana Mdogo Justin bieber ni balaa. Lakini kama unataka kujua jamaa huyu ni balaa wapi, zima tukupe mtonyo:
Licha ya kuwa Mzima kwenye Stage, Kuimba na hata Kuandika, Kucheza akiwa katika Mishe zake, Amini Usiamini eti, JUSTIN BIEBER ni baya katika Suala zima la Kubiringika katika Levo za Sita kwa sita.
Kwa mujibu wa Mrembo aliyekunjuka naye, ambaye mwanzo ilibainikla kuwa ni Kahaba Huko nchini Brazil, TATI NEVES, ameshusha pongezi za Thati kwa majanga Boy Huyo, huku akisema kuwa ni mtu ambaye anajua kutumia nafasi adimu kama hizo
TATI ambaye alipata umaarufu wa kutosha baada ya kutupia Video Clip yake na Justin bieber kunako mtandao wa youtube, amesema kuwa ni kweli alifanya la kufanywa na Hit maker huyo wa BABY, baada ya kutoka katika ukumbi wa Rio De Janeiro mapema mwezi.
Pia Tati ameongeza kuwa, yeye siyo kahaba kama ambavyo watu wamekuwa wakimtolea tafsiri mbali mbali, na Clip hiyo kufika youtube, hakuwa amedhamiria, bali Shost wake ndo alifanya Hivyo.
Katika kuhitimisha, TATI amesema hatokuja kufurahia usiku mwingine na mwanaume mwingine, kama ambavyo imetokea kwa Justin bieber.
Up to this Time, The majanga Boy Justin Bieber himself hajajibu kile ambacho kimesemwa na Mwana dada huyop, na hata kuizungumzia Clip inayozidi kusambaa balaa.
Related Posts :
MSAADA: WATOTO WA P.DIDDY, THE GAME, WAUNGANA KUICHANGIA KUCHANGIA WAATHIRIKA WA KIMBUNGA NCHINI PHILLIPINES
Watoto wa Mkali na
mkongwe wa muziki wa hip hop nchni Marekani SEAN COMBS “P.DIDDY”, wameamua
Kufanya kitu bora na hata Mfano wa kuigwa kwa Familia Nyingine za mastaa hasa
ulimwenguni kote.
Ikiwa ni Siku kadhaa
zimepita tangia kitokee Kimbunga kikali na kuua zaidi ya watu Milion Moja na
maelfu ya watu wakikosa makazi
Watoto hao
ambao ni JESSIE na D’LILA (Mapacha), pamoja na Kaka zao wawili CHRISTIAN na
QUINCY, wameamua kujitolea kuwasaidia waathirika wa Kimbunga hicho kikali, kwa
Kutoa Vifaa kadhaa y7akiwemo mavazi kwaajili ya watoto.
Tofauti na
watoto hao, The Game naye ameamua kutoa Msaada wa Dolar 10,000 sawa na TAKRIBANI Milioni
15 za Kitanzania
Lakini hata wewe Mtanzania, Still
unaweza kufanya ambalo watu hao wamelifanya kwa kuweza kutoa Msaada wako
kupitia Tovuti maalum www.dec.org.uk
Related Posts :
BLACK CHART: VANESSA MDEE NA WAKUBWA WAJIJI HAWACHEKEANI !!
Vanessa "V-Money" Mdee
HEIYAAAA...
Kila Jumapili huwa ninapata nafasi ya kupitia "Mikwaju" ambayo nimeiupload kupitia Sound Cloud account yangu, pamoja na Blog hii ya BLACK TOUCHEZ.
Wiki Hii, List Imekuwa Hot kiujumla, baada ya Kusikilizwa Kwa Wingi wa Kutosha. Chart iko kama Hivi
1. COME CLOSER- Vanessa Mdee
2 .FANYA- Wakubwa Wa Jiji
3. VUTA TASWIRA- Natty E Feat. Kala Jeremiah (Video is Coming Soon)
4 MTEMI PESA- Squeezer Feat. Belle 9
5. SALAM ZAO- Rapa Uswaz
Statisztics zenyewe ziko Hivi mazee
Ili Kuweza Kuonja ladha za wakali hawa, ingia https://soundcloud.com/frank7788.
HEIYAAAA...
Kila Jumapili huwa ninapata nafasi ya kupitia "Mikwaju" ambayo nimeiupload kupitia Sound Cloud account yangu, pamoja na Blog hii ya BLACK TOUCHEZ.
Wakubwa Wa Jiji
Wiki Hii, List Imekuwa Hot kiujumla, baada ya Kusikilizwa Kwa Wingi wa Kutosha. Chart iko kama Hivi
1. COME CLOSER- Vanessa Mdee
2 .FANYA- Wakubwa Wa Jiji
3. VUTA TASWIRA- Natty E Feat. Kala Jeremiah (Video is Coming Soon)
4 MTEMI PESA- Squeezer Feat. Belle 9
5. SALAM ZAO- Rapa Uswaz
Statisztics zenyewe ziko Hivi mazee
Ili Kuweza Kuonja ladha za wakali hawa, ingia https://soundcloud.com/frank7788.















