MUNGU NJOO UOKOE JAHAZI !!!!: BINTI HUYU AMEAPA KUWA HATOIVUNJA "B**K**RA " YAKE KAMA RAILA ODINGA HATOSHINDA URAIS NCHINI KENYA
Na Baba Juti
#WatuWaMungu Duniani kuna Vituko, na bila Vituko kweli tunaweza tukanuka Midomo, maana hatutocheka hata Kidogo
SOPHIE KERUBO Kutoka Nchini Kenya, ameushangaza umati wa watu hasa wanaafrika mashariki kwa kuapa kuwa hatoruhusu "Bikira" yake Itoke kama Raila Odinga hatoshinda Kiti Cha Urais Nchini Kenya
Binti huyu alitoa Kiapo hicho kupitia Mtandao wa Facebook ambako alisema kuwa atakaa na "Sield" yake hiyo mpaka pale Raila Odinga ambaye anafahamika kwa jina la "Baba" atakaposhinda hata kama ni miaka 50 Ijayo.
Tunamnukuu
" Mie, Sophy Kerubo, Ninaapa Mbele ya Wakenya Wenzangu kuwa, Sintoivunja "bikira" yangu kama raila Odinga hatoshinda Urais katika Uchaguzi Huu"
NYAKIM GATWECH : HUYU NDIYE MALKIA WA NGZI NYEUSI... ALIAMBIWA AKIPEWA DOLLAR 10,000 AJICHUBUE, ATAKUBALI?, TIZAMA PICHA ZAKE 13
Na Baba Juti
#WatuWaMungu ukiwa na Msimamo katika maisha yako , hata iwe vipi, hakuna kitakachokusumbua hata kidogo aisee...
Tunakukutanisha na NYAKIM GATWECH, Mwanamitindo mwenye Umri wa Miaka 24, ambaye makazi yake kwa hivi sasa ni MINNEAPOLIS Marekani.
Lakini Binti huyu sifa yake sio ya kawaida, maana ukiachilia mbali na Kazi anazofanya, Ni raia wa SUDANI KUSINI na ni Mweusi kupita maelezo kiasi kwamba akapewa jina la QUEEN OF DARK, yaani "Malikia wa Giza/Weusi"
Kitu ambacho kimewagusa wengi ni story yake ya kuandamwa na kushauriwa mara kwa mara kuwa Aajichubue" kitu ambacho kilionekana kumnyima Raha maana alihisi anatukanwa kulingana na Ngozi yake
Kupitia Instagram account yake, Nyakim huzungumza na kutoa simulizi na maneno ya Motisha kwa Followers wake zaidi ya 180,000 kuhus Maisha yake, kujivunia Ngozi yake na hata kuvumilia kila ambacho anakutana nacho
Tofauti na kuchukiwa na kunyooshewa vidole vya kibaguzi mara kwa Mara, Nyakim hatosahau kitendo cha kuambiwa apewe USD 10,000 ili ajichubue na Dreva wa Gari za Kibiashara aina ya UBER Nchini Marekani
Tunamnukuu
"Niliulizwa na Dreva wa Uber siku moja hivi... usichukulie hili kama udhalilishaji, ikatokea ukapewa USD 10000, utajichubua kwa Kiasi hicho cha Pesa. Sikujibu chochote, badala yake nilianza kucheka kwa nguvu sana. Kisha akauliza kama kicheko changu kinamaanisha hapana, nikamwambia hiyo ni hapana kubwa na ishindwe. kwanini katika dunia hii nichubue Hazina yangu nzuri kama hii ambayo mungu kanibariki?"
Related Posts :
DR. DRE AMEOMBA RADHI KWA KOSA ALILOMFANYIA MWANDISHI WA HABARI 1991
Na Baba Juti
#WatuWaMungu Kupitia Project Mpya ya HBO- inayoitwa THE DEFIANT ONES hatimaye Rapper na Producer Mkongwe Nchini Marekani, DR. DRE kuomba Msamaha kwa Mwandishi wa Habari wa Kike aliyemfanyia "Unyambilisi" mwaka 1991
Kupitia Program Hiyo ambayo inahusisha wakongwe Mbali mbali, Dr Dre anakiri kabisa kuwa kifo cha Kaka Yake na kitendo cha ICE CUBE kuondoka katika kundi lao la N.W.A kulimchanganya sana
Tofauti na hilo, Dre amekiri kuwa kitendo cha Kunywa Pombe sana kulimfanya abadilike kimaisha na hata kumdhuru Mwandishi wa Habari DEE BARNES baada ya kutoa taarifa kuwa kulikuwa na mgogoro ulikuwa unaendelea baina yao hasa katika kundi lao
"Hii Ilikuwa ni Hatua ya Chini sana katika maisha yangu. Nimefanya mambo ya kijinga sana katika Maisha yangu. Mambo mengi sana ambayo ninatamani nirudi nyuma nikayasahihioshe. Nimeshuhudia mama yangu mzazi akidhalilishwa, hivyo hakuna sababu ya kujitetea katika hilo. hakuna mwanamke anayetakiwa kutendewa hayo yote"
Katika hali Nyingine, Hitmaker huyo wa STILL amethubutu kusema kuwa, mwanaume yeyote atakayeunyanyua mkono kumpiga mwanamke, ni Mpumbafu wa hali ya juu
Tunamnukuu
"Mwanaume yeyote ambaye atadiriki kumpiga mwanamke, ni mpumbafu wa hali ya juu. Hana akili na hata mie sikuwa katika akili yangu kipindi hicho. Nimeshachoka, nimelipa mabaya niliyofanya, ninaomba msamaha kwa hilo, na nimeomba radhi. Nina wingu jeusi sana ambalo linanifuata nyuma yangu na ninahisi litabaki na mie milele yote. Ni lawama kubwa kwangu nikiwa kama mwanaume"
Related Posts :
MENSEN SELEKTA: WATANZANIA WENGI WANADHANI MIE NI PRODUCER TU, SAFARI YANGU ILIANZIA KWENYE USANII
Na Baba Juti
#WatuWaMungu a Big Congratulation ianguke kwa Producer na Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, MENSEN SELEKTA ambaye officially jana tulipata taarifa kuwa tayari amepata Usimamizi Mnono.
Kupitia Mkutano wa waandishi wa habari ambao aliufanya na Management Yake Hiyo ambayo makao makuu yake ni Morogoro, Mensen anadi kuwa amefurahishwa na anashukuru kwa nafasi hiyo kujitokeza kwa Upande wake sababu yeye ni moja kati ya watu ambao wameanza kufahamika kitambo kidogo
Pia Mensen ameongeza kuwa, Mbali na Watanzania Wengi kumfahamu kama Producer, bado wanatakiwa kufahamu kuwa safari yake ya awali kabisa ilikuwa ni Usanii, yaani Msanii wa Muziki, hivyo kupata Management kama Hiyo, Ni jambo la Kheri






