TUPENI TAFSIRI: CAITLYN JENNER (ZAMANI BRUCE JENNERS) ALIFURAHIA SIKU YA BABA DUNIANI NA WATOTO WAKE WAWILI, KYLIE NA KENDALL
Na Baba Juti
#WatuWaMungu Leo Sijui tunafanyaje, Ila Hebu Tupanic Tena Kidogo..................... Jumapili ya Tarehe 18 June ilikuwa ni Siku ya Baba Duniani, Si Ndiyo jamani?.. na kila Mtu alitumia nafasi yake Vizuri, ila kama Hukufanya Hivyo, Basi Pole..subiri Mwakani
Sasa Caitlyn Jenner, Mwanamke aliyebadili Jinsia kutoka Uanaume mpaka Kuwa Mwanamke, Siku ya Jana alitumia Nafasi nzuri Kuspend Siku ya Baba Duniani, maarufu kama FATHER'S DAY akiwa na Mabinti wake wawili, Kendall na Kylie Jenner
Bi Mkubwa huyo mwenye Miaka 69 kwa Hivi sasa, alifanya Tukio Hilo huko Marekani maeneo ya Beverley Hills, huku wakitembelea Magari kadha wa kadha na hata kupose kwa ajili ya Picha Nyingi Tu
Baada ya Kupiga Picha aliyoifurahia, aliingia kunako Instagram account yake na kuandika Kuwa
"Siku Nzuri katika maonesho ya Magari ya Siku ya Baba Duniani nikiwa na Watoto wangu wawili hapa RODEO DRIVE. Heri ya Siku Ya Baba Duniani kwa Nyote Mlioko Huko"
Tofauti na Hilo, PiaCaitlyn alijishindia Tuzo ya Kuwa na Gari ambalo liko katika Fashion Kali, na hapo ndipo alipojikuta akimwaga Machozi baada ya kumkumbuka Baba Yake Mzazi ambaye Hivi sasa Ni Marehemu, huku akimpongeza na kumshukuru kwa Kila alichomfanyia
HAIWEZEKANI!!! :HUYU NDIYE MSANII WA R&B NCHINI MAREKANI ANAYETUHUMIA KUTOA HARUFU MBAYA YA MWILI !!!!
Na Baba Juti
#WatuWaMungu Hapa Nchini Marekani kuna Msanii wa Kike wa
RnB ambaye anatuhumiwa kutoa Harufu Mbaya almaarufu kama Kunuka !!!!
Kama mtakuwa mnakumbuka Vizuri, Hapa Tanzania Pia iliwahi
kuvuma kuwa Msanii Fulani wa Tasnia ya Bongo Movie alituhumiwa kutoa
Harufu mbaya katika Maeneo Fulani ambayo ni Ficho kidogo, basin a Nchini
Marekani kuna huyu ambaye ametajwa kutoa harufu mbaya
KEHLAN, msanii anayefanya Vizuri pia katika Ulimwengu wa RnB
anadaiwa kutoa Harufu mbovu mwilini, tuhuma ambazo zimeanzishwa na Wadau
wanaomfahamu, kupitia Mitandao ya Kijamii
Kehlan aambaye miezi sita iliyokata ameachia Video yake ya
DESTRUCTION, alifahamika zaidi kupitia Umahiri wake wa kucheza na Sauti katika
Mtindo wa RnB kipindi mashindano ya AMERICA HAS GOT TALENT na tayari ana
Mikwaju Mingi sana
Moja kati ya watu waliomtuhumu , ni huyu ambaye anafahamika
kwa jina la GHETTO SNOB, aliandika hivi kupitia Twitter
“Kehlan Hakika anakera sana. Alikuja Kazini kwangu na Studio
Nzima ikajawa na Harufu mbaya ya Mwili.”
Baada ya Kulianzisha Hilo, Wengine walijitokeza na kuanza
kukazia Katika Hilo, ambapo mmoja aliamua kuibua Kila Kitu na Kudai kuwa, Binti
huyo anathema kila Kona na anakera mnoo
Naomba Nimnukuu
“Jasho la Kwenye Matiti, Harufu ya Kwenye Kikwapa, Harufu ya
bangi, na Spray yenye harufu MATANGO YENYE MALIMAO, hatari “
Related Posts :
TUMUOGOPE MUNGU !!! : ETI MAKE UP ZA KIM KARDASHIAN ZINABADILISHA NGOZI NA KUWA NYEUSI ???
Na Baba Juti
#WatuWaMungu Naomba tupanic kwa Dakika Moja .......................................... Sasa Sijui kama Ni Kweli ama Lah, ila naomba tuishushe Tu Kwenu kama wadau na Nyie mseme kabisa
Inasemekana kuwa Bidhaa za Urembo za Shemeji Yetu kwa Kanye West, KIm Kardashian West, zimeanza Kukosolewa kwa Madai kuwa eti zinabadili muonekano na Kuwa Mweusi
Kwa Mujibu wa Tweet ambazo tumezinyaka kama Kitibitishio katika Madai ama Ukosoaji Huo, inasemekana kuwa Mchakato huo umesababishwa na Tangazo la Bidhaa hizo za Urembo ambazo zinaitwa KKW BEAUTY LINE, zinamuonesha Kim Kardashian akiwa katika Ngozi ya WEUSI WA KUNG'AA kitu ambacho wengi wanafahamu Kim hayuko Hivyo
Ukiachilia Mbali suala Hilo, Wengi wameanza kudai kuwa Huenda Kim keshaambiwa na Mumewe Kanye, aanze kuufukuzia Weusi, hivyo hata Make Up zake zitakubadilisha na kuwa katika Muonekano wa Weusi pale unapozipaka
Now @KimKardashian you know you ain't that damn dark stop trying to be black 🤦🏾♂️ pic.twitter.com/PPRF2SxORc— moonlight🌜 (@dreesoul) June 14, 2017
Related Posts :
PANIC KWA DAKIKA !!!: RIHANNA KAMTAFUTA CHRIS BROWN NA KUMWAMBIA HAYA
Na Baba Juti
#WatuWaMungu hakuna kitu kizuri kama kubaini kabisa kuwa Mwenzi wako wa Kipindi cha Nyuma, bado anakujali na hata kuijali familia yako ama kile ambacho uko Nacho
Hii Imeweza kudhihirishwa Weekend Hii baada ya Rihanna kutoa Ushauri mzuri unaovutia kwa Ex-Wake Chris Brown kuhus kile ambacho kinaendelea Hivi sasa
Kama utakuwa hujavuruga "Memory" ya kichwa chako, utakuwa unafahamu kabisa kuwa kama Mwenzi mmoja uliokata, Ex-wa Brown Karrueche Tran aliamua kufungua Mashtaka dhidi ya Hitmaker Huyo wa AYO akidai kuwa amemtishia Kumuaa mara kadhaa na hata kumdhuru kitu ambacho wengi tunahisi kinaweza kumchanganya Breezy sababu tayari ana Mtoto mdogo
Sasa Taarifa ambazo tuko nazo mpoaka Hivi sasa, Ni kwamba, Baada ya Rihanna kusikia Jambo hilo, aliamua kumsaka Chris Breezy na kumuambia kuwa hivi sasa anatakiwa Kuishi maiasha Mazuri na kumjali zaidi Mtoto wake, kitu ambacho ma-ex wengine hawawezi kukifanya kikawaida yani
Raifiki wa Karibu wa Rihanna alivujisha Info hizo akidai kuwa, Rihanna alichukua Jukumuu hilo pasipo kuzingatia Kipigo ama Tofauti ambazo zimeshawahi kutokea baina yao wawili
Tunamnukuu
" Rihanna alimuonya Sana Chris Brown ili ajifunze somo muhimu hivi sasa, hasa ukizingatia Nafasi yake kama Baba. Anafahamu namna ambavyo Royalty ni Muhimu sana kwa Chris Brown, hivyo alimuambia ajikite zaidi na kutizama mbele zaidi na aaishi Maisha Bora kwa ajili ya Mtoto Wake"









