HONGERA WAHITIMU WA AZANIA SEKONDARY

Add Comment









Related Posts :

AMENUSURIKA KIFO BAADA YA NYWELE ZAKE KUNASA KATIKA MASHINE

Add Comment


Mwanamama KELLY NIELD,24, Amenusurika Kifo baaada Ya nywele zake kunasa kwenye Mashine (Pichani) alipokuwa katika Kazi zake za kawaida.

Kwa Mujibu wa Bosi Wake, KELLY alikuwa katika Shughuli zake za Kawaida, lakini alikutana na adha hiyo baada ya sehemu ya nyele zake kunasa katika mnyororo wa Mashine hiyo, na kupelekea kuchanwa Kidole alipokuwa akijitahidi kujiokoa katika Sakata hilo

Related Posts :

FASHION FACTS : SIMPLE AND CLEAR....NATAMANI WAKE WA MARAIS WAWE KAMA HIVI

Add Comment

Ukiangalia kwa mbali na kama humfahamu, huwezi ukadhani kama huyu mama anaitwa "First Lady" ama "Mama Watoto wa Rais".

Bi Mkubwa huyu anaitwa MICHELLE OBAMA, hebu cheki alivyavaa....yaani kama Dada Flani hivi ambaye anatokea Mitaa ya SHEKILANGO pale. Off Course huyu mama amependeza and she is a good Fashilicious

Haina haja ya ku-complicate...mara VITENGE, SUTI, sijui na Mavitambaa gani yale ambayo wanayavaa wake za Maraisi Wetu (Samahani Lakini)

Related Posts :

PICHA : TUMEPENDEZA...KAMA MASIHALA VILE

Add Comment
Mchezaji wa Arsenal, Theo Walcott (Kushoto) akisaini Mkataba wa Kuendelea kuitumikia Club hiyo. Walcott atakuwa akilipwa Pauni 100,000 kwa Wiki. Kulia ni Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger

Related Posts :

PICHA: HUU NI MSIMU WA BARIDI HUKO ENGLAND.......

Add Comment








Kama unavyoona katika Picha, Barafu ama Snow kama wenzetu wanavyoita, imezidi kupamba moto katika Mitaa mbali mbali Nchini Uingeleza, na hali kuwa kama hivi

Related Posts :