USIPOTEZE TABASAMU LAKO UKIWA KAZINI

Add Comment
MTANZANIA MWENZANGU...
Hakika Kazi ambayo unaipenda hasa Kutoka Moyoni mwako, ni moja kati ya Chachu za Msingi katika Maisha yako ya Sasa na hata Ya Baadaye.

TABASAMU lako huchangia Ufanisi mzuri sana wa Kazi yako. Tabasamu na Kila Mfanyakazi Mwenzako yeyote, ili ufanye kazi kwa "Mzuka" wote, jambo ambalo halitapoteza Hamu ya Kufurahia Kazi yako.

Related Posts :

HAYA NDIYO YALIYOTOKEA TWITTER BAADA YA RUGE KUFUNGUKA KUHUSU BIFU LAKE NA JAY DEE

Add Comment






Related Posts :

WEEKEND REWIND UP : HUYU NDIYE MREMBO AMBAYE MR.NICE ANAMFUKUZIA

Add Comment
Miss WorldKenya, Shamim Nabil
Mr.Nice

Baada ya kurudi tena katika Music Industry kupitia Kenyan MusicLebel ikitambulika kama GRANDPA RECORDS, Mr Nice huenda akajiweka zaidi kwa Mlimbwende Shamim Nabil wa Nchini Kenya, ambaye ni Miss World Kenya.

Mchakato huo huenda ukathibitisha usemi wake na Kauli zake kuwa baada ya kuchoshwa na "Mademu" wa Kibongo, sasa anatamani kupata "Kisu" cha Kikenya ambacho kitampa faraja ya Kutosha.

Wadaku na Wadakuzi Nchini Kenya, wanadai kuwa Mr. Nice ameonekana na Shamim katika Moja ya Sehemu huko Nchini Kenya katika Kituo Cha kulelea watoto, kilichopo Kibera, huku wawili haopwakionekana kufurahia muda ule, huku Nice akimganda kama Ruba

Aidha katika Tukio lingine linaloonesha dalili za Nice Kumfukuzia mwanadada huyo, baada ya kwenda kumtembelea Shamim Hospitalini Siku ya Alhamis alipokuwa katika Matibabu, huku akiwa na Zawadi ya Maua

Related Posts :