TUPAKUMBUKE NYUMBANI TOUR : NAJIVUNIA SANA KIJIJI ALICHOZALIWA MAMA YANGU MZAZI...HUKO NDIKO NILIKULA BAADHI YA BATA

KARIBUNI WANANGU:  KUTOKA KUSHOTO, Kaka yetu Allawi Mnyika ambaye niliam,batana naye katika safari, Mama yetu Mdogo Ednatha Kagaruki, Mtoto wa Mama Mdogo Ednatha, pamoja na Mama yangu Mkubwa Goleth Kagaruki (Aliyeinama)

PUMZIKA KWA AMANI: Kaburi la Mrehemu Babu yrtu Mzaa Mama, Mzee Gervaze Kagaruki, lililopo katika Kijiji cha Katendaguro wilaya ya Misenyi, Mkoani Kagera. (Picha Zote Na Frank M. Joachim)

Related Posts :