TOKA IKULU: WILLIAM RUTTO NA KIKWETE WAKUTANA NDANI YA MBUGA YA WANYAMA YA SERONERA, MARA

 OOOH ! KARIBU SHEMEJI...Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt Jakaya Kikwete akisalimiana kwa Furaha na Mke wa Makamu wa rais Mpya wa Kenya...

 KARIBU SANA MZEE: Rais Kikwete (Kushoto kisalimiana kwa Furaha na Makamu wa Rais wa Kenya, Ndugu William Rutto, katika Ziara yake ya Mapumziko ya Sikukuu ya Pasaka, katika Mbuga ya Seronare

 TWENDE HUKU AISEE...Rais Kikwete akielekea Mahali na Mheshimiwa Rotto

 TUNAFURAHI...Rais Kikwete na William Rutto wakionekana kufurahia jambo fulani

TUMETOKLEZEYA: Mheshimiwa Kikwete akiwa na Familia ya Makamu wa Rais wa Kenya, William Rutto katika Picha ya Pamoja

PICHA: IKULU

Related Posts :