TUNATEKELEZA : Mkaguzi wa dawa wa mamlaka ya chakula na dawa (TFDA) kanda
ya kati, Dk.Engelbert Mbekenga akizungumza na waandishi wa habari (hawapo
kwenye picha) juu ya msako unaoendelea wa kukamata bidhaa zilizokwisha muda
wake wa kutumika na zile zilizopigwa marufuku kutumiwa.

