KWA WALE WADADU WA AMBER ROSE NA WIZZY KHALIFA...HII INAHUSU KINOMA NOMA








 Amber Rose katika vazi ambalo liliwafanya wadau kuhisi ni Mjamzito

 Na Frank M. Joachim
Baada ya Mapicha kadhaa kumuonesha Mwanamitindo Amber Rose akiwa katika Dalili za kuwa mjamzito, Mchumba wake mpendwa Wizzy Khalifa amekanusha vikali suala hilo na kusema kuwa watu wamemtafsiri  vibaya Amber alivyotoklezea
Hayo ameyadhihirisha mwenyewe Wizy Khalifa alipokuwa kwenye mahojiano na kituo cha Redio cha HOT 107.0 na Q Deezy katika masuala ya ujauzito kuhusiana na Amber wake
“Yeah…ni kweli, nahitaji watoto kiukweli…oh…mnahisi Amber ni mjamzito?...kwa sababu nimeulizwa hilo Swali….si kama ambavyo watu wanatafsiri, hivi sasa tunajipanga na Ndoa ambayo tutafunga muda si Mrefu. Ninasema hivyo kwa sababu watu wanaamini hivyo. Ila, atanipatia mtoto katika maisha yetu. Na watu watafahamu tu endapo atakuwa Mjamzito, ila kwa sasa sio muda muafaka””…alisema Khalifa

Related Posts :