HAKUNA COLLLABLE YA GAGA WALA EMINEM....KUDADADEEEKIII

Lady Gaga akiwa na Eminem


Na Frank M. Joachim

Mapema Wiki hii kumekuwa na Mastori zingi kila kona ya Kitaa cha Wapenda Burudani kuwa Mtu mzima Eminem “az nouni az” Slim Shaddy, atagonga Kolabo na Crazzy Girl aliyejipindia kitambo sana, Lady Gaga a.k.a Gagalicious, katika Track ambayo ilipewa Jina la “STREET LIGHTS”, ambapo raia wengi tumekuwa tukiisubiri kinoma noma, baada ya kuzagaa kwa info kuwa wawili hao wamekuwa wakionekana pamoja kunako mitaa ya Studio ambako Track hiyo inapikwa.
Katika Hali isiyo ya kawaida, Meneja wa Eminem, Paul Rosenberg amethibitisha kuwa hakutokuwa na Collabo yoyote ile baina ya “Mother Monster” (Lady gaga) huyo na The Detroit Rapper Eminem.
Mastori Hizo zilianza Kitaambo kimtindo kupitia Site kadhaa za Musics, na maburudani mbali mbali.
So….wadau pigeni Kimmmmyaaaaaaa!!!!

Related Posts :