HAIWEZEKANI !!!!!! : MARIAH CAREY HAWEZI TENA KUIMBA?


Na Baba Juti   
#WatuWaMungu ifikie Muda tukubali tu kabisa kuwa yametushinda kabisa maana ni kama tunavyolazimisha ni kama tunaharibu tu

MARIAH CAREY, amethibitisha hilo baada ya kuonekana kabisa kuwa Muziki unaanza kumtupa Mkono baada ya kuonekana aki-lip sync katika perfomance ya Hip Hop Honors

Tukio hilo lilifanyika wakati akiimba na Jermain Dupri  kupitia Mkwaju wa HONEY.

Wengi awali hawakuwa wamegundua kama Bibie huyo alikuwa akichezesha Lips zake tu kuigiza kuwa anaimba, lakini kumbe wajanja walikuwa wameshagundua hilo na kuanza kuamsha hapo hapo japo kwa Uchache

Tofauti na hilo, Mariah Carey aliwahi kukutana na janga kama hilo la ku-chezesha Mdomo juu ya wimbo, huku baadhi wakidai kuwa hata sauti yake haina Ubora kama ilivyokuwa awali.

Related Posts :