MWALIMU ATUPWA JELA KWA MAKOSA HAYA MAWILI





BLACK TOUCHEZ
Mahakama ya wilaya ya MLELE wilayani KATAVI imemuhukumu mwalimu wa shule ya msingi UKINGWAMIZI  UNE THOM miaka 32 jela baada ya mahakama kumkuta na hatia ya makossa mawili ya KUMNAJISI NA kumpa mimba mwanafunzi wake mwenye umri wa miaka 16.
Mwanafunzi huyo alijifungua mtoto njiti na akafariki baada ya muda,Ambapo hakimu mfawidhi wa mahakama hiyo TEOTIMUS SWAI amesema mashtaka yaliyotolewa dhikdi yake na ushahidi uliokuwa ukiongozwa na mkaguzi wa polisi BARAKA HONGOLI imethibitisha kweli mtuhumiwa alitenda kosa hilo
Mwendesha mashtaka huyo aliongeza kuwa mtuhumiwa alikuwa na mahusiano ya mapenzi ya muda mrefu sanaaaa.

Related Posts :