RIHANNA ASHINDWA KUPERFORM KATIKA TUZO ZA GRAMMY


INASEMEKANA kuwa, Rihanna alienda Mpaka Kwenye Reheasal, lakini Dakika za Mwisho Kabisa, alitweet kuwa hatohudhuria wala kuperform katika Tuzo hizo.

Mpaka Hivi sasa, Sababu iliyomfanya Rihanna kushindwa kupanda Jukwaani, inasemekana kuwa, ni Onyo alilopewa na Daktari, kuwa anaweza akajikuta anapata tatizo la Mapafu, endapo atapanda Jukwaani na kupiga Live Perfomance.

Rihanna alilazimika kuondoka baada ya Rehealsal, na hata alipofika Ukumbini hapo, hakupita katika Upande wa Red Carpet.

Hata Hivyo, Badgal Riri aliomba Radhi kupitia account yake ya Twitter.

Related Posts :