HATIMAYE KIM KARDASHIAN AKUTANA NA BABA YAKE WA KAMBO ALIYEBADILISHA JINSIA NA KUWA MWANAMKE, CAITLYN JENNER

Na Baba Juti
KATIKA account yake ya Instagram, hatimaye Kim Kardashian amepost Picha akiwa na Caitlyn Jenner, baba yake wa kambo aliyebadilisha Jinsia na Kuwa Mwanamke.

Katika Caption aliyoandika, Kim Kardashian ambaye Ni Mke wa Kanye West, aliandika, CHILLIN WITH CAIT


Awali Watoto Wote wa Caitlyn Jenner (Zamani  Bruce Jenner), waligoma Kwenda katika Hafla ya Kubadili Jina, kwa aliyekuwa Baba yao Huyu, lakini safari hii inawezekana mambo yako sawa, na wamekubali.


Kim Kardashian na kanye West wanatarajia Kupata Mtoto wa Pili, ambapo wa Kwanza ni binti yao North West

Instagram @babajuti

Related Posts :