HATIMAYE: PICHA ZA MWILI WA MAREHEMU ERNESTO CHE' GUEVARA AKIWA AMEKUFA ZIMEPATIKANA BAADA YA MIAKA 47 TANGU KIFO CHAKE

Mwili Wa Ernesto Che Guevara ukiwa Umezungukwa na Familia Yake

Frank M. Joachim/ daily mail
MWANAUME mmoja amejitokeza na kuonesha Picha Za Mwili Marehemu CHE GUEVARA ukiwa na majeraha mengi, uliopatikana huko BOLIVIA, Hispania

Jamaa huyo ambaye ametambulika kwa jina la IMANOL ARTEAGA amedai kuwa, Mjomba Wake ndiye aliyezileta Picha hizo kutoka huko Huko Bolivia, alipokuwa ameenda katika Harusi ya wazazi wake, ambao walifunga ndoa November 1967.

Marehemu Ernesto Che Guevara aliauawa OCTOBER 9,1967…nasiku moja kabla, alikamtwa na Jeshi la BOLIVIA.

Arteaga anadai kuwa, mama yake na Shangazi yake wanathibitisha kuwa, picha hizo zilikabidhiwa kwa Mjomba wake, na Mwandishi wa habari mwenye asili ya Kifaransa


Aidha inataarifiwa kuwa, picha Hizo zilipigwa na Mwandishi wa habari MARC HUTTEN kutoka Shirika la Habari la AFP, aliyekuwa BOLIVIA, Hispania


Related Posts :