SATOO: TIZAMA JINSI USAIN BOLT ALIVYOGEUKA ROHO YA TAMASHA LA BIA



MUNICH, Ujerumani
MWANARIADHA asiyekamatika kutoka Nchini Jamaica, USAIN BOLT, alionekana kuwa Sehemu kubwa ya Furaha ya Party maalum ama tamasha maalum la Beer linalofanyika kila Mwaka Huko MUNICH (ANNUAL BEER FESTIVAL)


Tizama Picha zake, utabain kabisa kuwa, Usain Bolt ni moja kati ya wanamichezo wachache wanaofahamu kutengeneza mahusiano mazuri na mazingira tofauti wanayofika














Related Posts :