NMB YADHAMINI MASHINDANO YA SHIMIWI MWAKA 2014









NMB imedhamini Mashindano ya wafanyakazi wa serikali na taasisi zake yanayojulikana kama SHIMIWI kwa kugharamia vifaa vya michezo ikiwemo jezi, viatu na mipira ya mashindano mbalimbali vyote vikiwa na thamani ya Shilingi 11,535,000/=

Hizo ni jitihada za benki kuwa karibu na wateja wake mbalimbali kwani watumishi wa serikali ni wateja wakubwa wa benki na hiyo ni sababu kubwa ya kushirikiana nao katika kuendeleza vipaji ambavyo wateja wa NMB wanavyo.

Mashindano ya SHIMIWI kwa mwaka huu 2014 yanafanyika katika mkoa wa Morogoro kuanzia tarehe 27th septemba .
 


Related Posts :