INSTACOP: UMESHAONA NAMNA AMBAVYO JIN KABULA AMEDATA KWA MR. FLAVOUR?


SIKU chache hivi karibuni maze, nilipita katika account ya  Mariam Jolwa, maarufu kama JINI KABULA.

Nilikuta tayari ameshabadilisha Hadi User Name kutokana tu na kuvutiwa na Mr. Flavour ambaye ni msanii wa Nigeria.

MR FLAVOUR ni Kipenzi cha watu wengi hasa kupitia kazi zake kama Vile, ASHAWO, I AM FOR REAL, CHINNY BABY na Nyinginezo.


Tofauti na hilo, Mwili wake wa mazoezi, ni noma kwa akina dada, kama ambavyo Kabula kaamua kuonesha kumkubali balaa




Related Posts :