ILIKUWA NI VITA YA CHATU NA MAMBA.........SASA TIZAMA VITA YA MAMBA NA KIBOKO



TUKIO hili limetokea KRUGER PARK, Huko Afrika ya Kusini, ambapo Mamba Huyu Mkubwa alimvamia KIBOKO huyu Mdogo, baada tu ya mama yake (Kiboko Mama) kumpa Mgongo Mtoto wakati wako katika harakati zao.


Inasemekana kuwa Mamba Huyu Mkubwa, alikuwa katika Mawindo na amefanikiwa kumchukua Mtoto huyo (kiboko) kwa ajili ya Kitoweo










Related Posts :