VIDEO YA NITASUBIRI, NI JUNE 15


Thingz zinaendelea kuwa Poa hasa kwa wewe Shabiki wa Muimbaji mkali na Muandishi maridaaaadi, hapa Nchini Tanzania, JUX, coz kuna hili la kusubiri kwa hamu Zaidi kutoka Kwake..

The Boy himself toka WAKACHA, anatarajia Kuzindua Rasmi Video yake Mpya ya Hit Song-NITASUBIRI , ambayo mpaka Hivi sasa Inafanya Poa kunako Radio Stations mbali mbali huku Ikivuna Downloads za Kumwaga Kunako Music Social Networks.


Video Hiyo inatarajiwa kuzinduliwa katika Ukumbi wa BILLCANAS Jijini Dar es Salaam, JUNE 15 2014, Huku Wasanii watakaompa kampani kunako STAGE, ni pamoja MIRROR, YOUNG DEE, MR. BLUE, VANESSA MDEE, CYRILL KAMIKAZE, n.k

Related Posts :