JENIPHER LOPEZ AKUTANA NA BALAA JINGINE


INGAWA HII SIO MARA YA KWANZA LAKINI MPAKA SASA HIVI TUNAJIULIZA, WHY JENIPHER LOPEZ KILA MARA.

This Time Jenipher Lopez kupitia Mtandao wa Twitter, amezushiwa kwa Mara Nyingine kuwa Ni marehemu.

Info zinazidi kumiminika kuwa, baada ya Mafanz wake kukutana na Tweet hiyo ya Iliyokuwa Posted Hapo jana, walianza kuhaha kuutafuta ukweli bila Mafanikio.

Aidha baada ya purukushani za hapa na pale finally taarifa zilitoka Rasmi kuwa Mrembo huyo mwenye Umri wa Miaka 44 Hivi sasa Yuko Hai, na hana tatizo lolote la Kiafya


Tofauti na Hilo, Jenipher Lopez hakuonekana kushtushwa na jamobo hilo, na hivi sasa ameachia Brand New Track inayofahamika kwa Jina la I LUH YAH PUPY

Related Posts :