BABY MADAHA: HII IMEKUWA NI KOFI KWA WOTE WALIONIOMBEA MABAYA NA KUNIZUNGUMZIA VIBAYA


JANATulikupa info kuhusu Wimbo wa NICE & SLOW ulioshirikisha  Msanii kutoka Nchini Tanzania BABY MADAHA akiwa na Meneja wake JOE CANDY kutoka Kenya.

Wimbo Huo umeligonga NAMBA 4 katika Chati ya UK TOP 30 kunako Mtandao wa REVERBNATION

Sasa Hebu Sikiliza alichokisema BABY MADAHA, ambaye Pia amezungumzia kuhusu Sababu za Yeye kutokuchaguliwa katika Tuzo za KTMA mwaka 2014, katika Interview na Kipindi cha JAM SESSION cha 99.4 METRO FM-MWANZA

Related Posts :

1 Response to "BABY MADAHA: HII IMEKUWA NI KOFI KWA WOTE WALIONIOMBEA MABAYA NA KUNIZUNGUMZIA VIBAYA"

  1. kwiwkikwikwikwiiii candyncandy ina vituko JOAN MADAHA ni mwongo asalalalalaaa mwathani UK ni SENGEREMA??? Kwann usisema ukweli HUO NI UONGO KWA WALE TUNAOJUA REVERBNATION VIZURI TUNAJUA KUWA HIYO NI PROMO pwahahahahhhhaaa...

    ReplyDelete