ULIKUWA UNA HISIA AMA KUTAMANI KUMCHUMBIA KELLY ROWLAND?..HII INAKUHUSU




Hii Ni maalum kabisa!

Ladies and Gentlemen, Finally Kelly Rowland aliyefanya Vema kunako Track ya DILLEMA na When Love Take Over, amevalishwa Pete ya Uchumba rasmi na Mpenzi wake wa Muda Mrefu ambaye pia ni MANAGER wake, TIM WHITHERSPOON.

Kelly Rowland ambaye Pia ni Ex Memba wa Ex Crew ya DESTINY’S CHILD, amekuwa akijitahidi sana kuficha Kidole ambacho amevalishwa Pete Hiyo, baada ya kutaka iwe siri, lakini NYUMA YA PAZIA tumeshainyaka na ndo tunakutonya rasmi.

Pasi[po Kutarajia, kwa bahati mbaya Kupitia Instagram yake, Kelly alijisahau na kuonesha kidole hifcho ambacho kina Pete Hiyo ya Uchumba kupitia video Clip aliyoipost.

Pia inasemekana kuwa, wawili hao waliopendana, wakapenda na hata kushibana, inawezekana wakafunga Ndoa kabisa, ili kuudumisha Zaidi mlolongo Mzima wa mahusiano yao tangia wanakutana.

Related Posts :