PICHA 5 ZA MAZISHI YA MAREHEMU PAUL WALKER



HATIMAYE DECEMBER 14, Mwili wa Marehemu PAUL WALKER, Star wa FAST & FURIOUS, amepumzishwa Kwa amani katika Nyumba yake ya Milele.

Mazishi yalifanyika Katika Eneo la FOREST LAWN MEMORIAL PARK, Huko Hollywood Hills, marekani.

Watu wachache Hasa familia na marafiki, Ndio waliopata nafasi ya Kuhudhuria mazishi hayo.

Kuna Uwezekano Mkubwa Kwamba, Mdogo Wake Paul Wallker, CODY WALKER akachukua Nafasi ya Marehemu kaka Yake (Paul) Katika Filamu Ya FAST & FURIOUS 7







Related Posts :