UKIMYA WANGU: NIKO POTE POTE..







Kuna Muda nakuwa Kimya hapa maskani Kwangu. lakini Ni kwa sababu nina Majukumu haya ambayo ni sehemu ya kutoa info na burudani kwa wasikilizaji wangu wa 99.4 Mhz Metro Fm -Mwanza Tanzania... 

Na Mara Nyingi hata Staff wangu wananihitaji hasa Kushare na Mimi Furaha zao, na hata Masihala pale tunapokuwa katika Uwaibikaji, ili Kuisukuma Siku

 MWAAAA: With My Sister Happy, In The Office Chilling and having Fun after Kazi ndefu mazee

 TEAM METRO: Kutoka kushoto Ni Julieth, Dullah "Bigg daddy Oxs", Happy, na mie. Poz Moja hilo
 TUNAJIPANGA: Team Metro tukiwa Tunasikiliza kupigwa Mnato
 TUKO SAWA: Moja.....Mbili...Tatu..Lets Go....

 USHALALALALAAA!: Kucheka ni sehemu ya Maisha Yetu coz tunapendana jaman

 YA MWISHO: Tukiwa tunachukua Pic ya Mwisho

 POWER OXS: Mi nilikuwa Siamini kama kibonge Huyu "Big dady Oxs " anaweza kuninyanyua Kwa Mkono Mmoja.
 HAPPY DADAZ; Kutoka kushoto, Happy, Edna "Natty E" & Juliet
 MZUKA: Happy dadaz wakiwa wamepoz again

 TEAM ANACONDA:  Sio jide Tu, hata 99.4 Metro Fm kuna akina Anaconda. Just See Them

TEAM ANACONDA: Big daddy Oxs na Mie. nani Best Team Anaconda?

Related Posts :