PICHA YA SAA HIZI

KARIBU MHESHIMIWA:  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akivalishwa shada la mauwa na kijana Chipukizi wa CCM Cleopatra  Saidi Omarn wa Dunga Wilaya ya kati alipoanza ziara ya Chama cha Mapinduzi katika wilaya hiyo jana.

[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

Related Posts :