VODACOM WAMEFANYA YAO KAMA KAWAIDA

 Mwakilishi miongoni mwa wa wafanyakazi wa idara ya uwezeshaji huduma ya mtandao wa Vodacom Tanzania, Precious Huggins , akizungumza kwa niaba ya wenzake wakati wa hafla ya kukabidhi michango yao ya vifaa mbalimbali kupitia kampeni ya Pamoja na Vodacom, vikiwemo vyandarua , vifaa vya ujenzi, vyakula na vinginevyo vyote vikiwa na thamani ya takribani sh milioni 4 kwenye kituo cha kulea watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha Mwandaliwa kilichopo Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam


Related Posts :