PICHA : HOYCE TEMU ALIVYOIFARIJI FAMILIA YA MAREHEM DAVID MWANGOZI


POLE MAMA: Bi. Temu akiwa amewapakata watoto wa marehemu aliifariji familia hiyo akiwataka kutokata tamaa na kuwa Mungu yupo na kwa kuwa watanzania ni wamoja mambo yatakwenda sawa.


 

TUKO PAMOJA: Hoyce Temu akimfariji mke wa Marehemu Daudi Mwangosi Bi. Itika Mwangosi alipoitembelea familia hiyo mkoani Iringa.



FARAJA:Bi. Itika Mwangosi akionyesha uso wa matumaini baada ya kupewa maeneo ya faraja na Hoyce Temu.

MSAT: MOHAMED DEWJI

Related Posts :