MAUAJI TENA TANA RIVER, KENYA

 Watu wanane wameuawa katika eneo la Nduru, kaunti ya Tana River huku wengine tisa wakiachwa na majeraha mabaya baada ya uvamizi uliotekelezwa jumanne usiku. Mauaji hayo yamezua hali ya taharuki katika eneo hilo. 

Polisi wanasema watu kutoka jamii ya waPokomo wamevamia kijiji cha waOrma. Subiri mengi zaidi kuhusu taarifa hii

Related Posts :