Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akipunga mkono kuwaaga wananchi baada ya kumsindikiza
Rais wa Kenya, Mwai Kibaki, ambaye ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika
Mashariki, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro, mara baada ya
ufunguzi wa Jengo la ofisi za Jumuiya hiyo iliyofanyika Jijini Arusha jana,
Nove 28, 2012.


