WANAWAKE TAFADHARIN SANA.....HII PICHA INAWADHALILISHA


Nilipokuwa namfuata Jamaa angu MPEKUZI...Nikakutana na Picha Kama hii
Huyu Anaitwa Husna na Ni Msanii Mzuri Tu hapa Nchini...lakini hebu tizama uchafu alioufanya hapo...katikea sehemu nzuri tu....lakini vazi alilovaa ...linaonesha Sehemu ya Matiti yake

Mi naona Huu nu UKOSEFU WA AKILI......maana kiujumla hapa anatuonesha sisi vijana hata Thamani aliyonayoi Mama yake Mzazi?

Related Posts :