GET TOGETHER PARTY (ROYAL COLLEGE OF TANZANIA)

WALITOKLEZEA HASWA...
Hubert Kiwale alikomaa na Malta yake...Duh..Pamoja (aliwakilisha Wakavvu Blackaz-All Starz Addicted)

Kama Kawa wadau hawakukosa. Kuanzia Kushoto ni Naomi, Jeyna na Yuleeeeeee..Mhusika yanii

Mule Mule...Wadau wa Ndimu Swaggalist Promo 4 Machini haoooo....Salama kama kawa...na Wengineo

Edger, kutoka Hatua Media Company LTD, hakusitisha mashambulizi ya Kukamu mpaka Ukumbini..."Kwan Kitu gani Bhaaaanaaaa?...Chezea Kessy wewe?

Enheee !! Mule Mule !! Moja, Mbili, Tatu...go Left, Go Right"...Kwaito ilichukua chance kama ulikuwepo Vile...
Wakiongozwa na Rais wa Serikali ya wanafunzi (ROCOTASO)..Mr Peter William

Related Posts :