REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

HII NDIYO ZAWADI AMBAYO H BABA KAMNUNULIA MWANAE TANZANITE KATIKA BIRTHDAY YAKE

6:53:00 AM

MSANII wa “Bongo-Bolingo Flava”, H BABA, amedai kuwa amempa Zawadi ya Kiwanja, Mwanae wa Kwanza, TANZANITE  ikiwa ni ndani ya Siku yake Maalum ya Kuzaliwa, yaani Birthday.


Kupitia Ukurasa wake wa Face Book, H baba anadai kuwa, Dhumuni la Kufanya hivyo, ni kumpongeza Mama Yake (Mke wa H baba-Flora Mvungi) kwa Kumvumilia.


Hiki Ndicho alichoandika:


“MWANANGU @tanzanitehbaba NIMEMPA ZAWADI YA ‪#‎KIWANJA ‪#‎MAENEO YA MBEZI BEACH CHENYE UKUBWA WA #52 KWA 44 ZAWADI HII NI YA ‪#‎birthday YAKE YAKUZALIWA KWAKE NAMSHUKURU MAMA TANZANITEONE KWAKUNIVUMILIA KUPATA MSHANGAO WA KIWANJA CHA MWANAE ‪#‎HAKUTEGEMEA ‪#‎KIUKWELI MBEZI BEACH UWANJA SIO MCHEZO KWAWANAOJUA THAMANI YA ARDHI ‪#‎WANAELEWA NINI NAMAANISHA ‪#‎SIWEZI KUMPA MWANANGU ZAWADI YA GARI KWASABABU ‪#‎BADO MDOGO PIA KIWANJA KILA ANAVYOKUWA NAKIWANJA KINAPANDA ‪#‎THAMANI ILA GARI ‪#‎LINASHUKA THAMANI ‪#‎NAMSHUKURU MWENYEZI MUNGU KWAKUFANIKISHA HILI KUBWA KWA MWANANGU @tanzanitehbaba haya haya walee wa mbezi beach ‪#‎JIRANI YENU MPYAA”

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »

MNADA BANNER