REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

UKATILI KWA WANAHABARI TANZANIA: ABSALOM KIBANDA ASAFIRISHWA KWA MATIBABU ZAIDI

12:41:00 AM
 NDANI YA NDEGE: Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari (2006) Limited, Absalom Kibanda, akiwa ndani ya Ndege ya Flightlink

 POLE MUME WANGU : . Absalom Kibanda akiwa na mkewe ndani ya Ndege, Anjella Semaya, tayari kuanza safari ya kuelekea nchini Afrika ya Kusini kwa matibabu

 TUKO PAMOJA NAYE : Baadhi ya waandishi na viongozi wa jukwaa la wahariri wakiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbi kwa ajili ya kumjulia hali.


 MSAADA : Wafanyakazi wa Kampuni ya Ndege ya Flightlink wakimpandisha Absalom Kibanda ndani ya Ndege.


 TUMESIKITISHWA SANA : Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari (2006) Limited, Hussein Bashe akizungfumza na waandishi wa habari kuhusiana na tukio la kutekwa kwa, Absalom Kibanda

POLE SANA : Mwenyekiti wa CHADEMA, Freema Mbowe akimjulia hali Absalom Kipanda katika Hospitali ya Taifa ya Mhumbili Dar es Salaam.

PICHA: AMANI TANZANIA

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »

MNADA BANNER