REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

NYOTA NDOGO. " KUSERMA KWELI, MIMI HUWA NINALALA NA NGUO...NINAOGOPA SANA"

2:20:00 AM Add Comment

Na INSTA COP.
WatuWaMungu Binafsi yangu siwezi kuruhus Eti Mke Wangu alale na mie kitanda kimoja , halafu awe amevaa nguo, hata kama ni nidhamu, aibu na heshima kiasi Gani. Lazima tu uzishushe

Lakini kwa Msanii kutoka Nchini Kenya, ni Tofauti, yeye kadai kuwa, Huvaa Nguo akilala na hata akiingia Toilet a.k.a Chooni, basi lazima achunguzi kwa Umakini zaidi, maana anweza kutana na ambalo halikutaniki

Aliandika Hivi
"Hebu niwaulize.maisha ya sasa unayaonaje hasa kwenye ndoa ama hata mpenzi wako na mitandao hii? Je upo huru na mume wako? Unaweza kutembea nyumba nzima bila nguo mukiwa nyie wawili? Nimeona mitandao yakijamii watu wakikosana unapata mume anatoa picha za mke wake kwa mitandao siri nje yani sikuizi mkikosana utu pia hakuna yote mliokua mukiyafanya pamoja yanakua nje.MUNGU ailinde ndoa yangu but sitawadanganya mimi ulala na nguo.nikienda chooni nachungulia kila sehemu kabla kukalia hio choo nimezidi ama? Je unakua muoga kama Mimi? Naogopa bure?"

MAMBO YA UTALII !!!: WASANII WA ARUSHA WAKUTANA NA MKUU WA MKOA (PICHA)

1:58:00 AM Add Comment

Na Baba Juti
WASANII Wa Muziki wa aina tofauti kutoka Jijini Arusha, wamekutana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha , Mheshimiwa Mrisho Gambo kuzungumza masuala yao ya Muziki na kuhamasisha Utalii.

Kupitia account ya Instagram ya Mkuu wa Mkoa Huyo, Mhe. Gambo alifafanua kuwa kwa alikutana na Wasanii hao akiwemo DOMO KAYA, JCB na wengine kuzungumzia namna ambavyo wanaweza kuhusisha Muziki wao wanaoufanya na Kutangaza Utalii wa Nchi ya Tanzania hasa Mbuga za Wanyama

Tukio hilo lilifanyika Jana katika Ofisi yake huku akidai kuwa, amewaambia waandae andiko Maalum na bora ambalo litaainisha namna ambavyo watautangaza utalii wa Ndani hasa ikiwemo Mbuga mbali mbali za Wanyama

Kwa Upande wake Msanii wa HIP HOP Nchini Tanzania, Domokaya, naye alisistiza kukutana kwao na Mkuu wa Mkoa huyu, huku akiwasihi wasanii pia kujikita katika Sekta ya Utalii ili kuangalia namna ambavyo unaweza kutangazika katika mataifa mengine hasa kupitia Muziki wao








BAADA YA KUKAMULIWA "NDIMU" KUHUSU KUCHEZA NA MWANAUME ALIYEBADILI JINSIA NA KUWA MWANAMKE, HATIMAYE RAPPER DESIIGNER ATOA UFAFANUZI (VIDEOS)

12:59:00 AM Add Comment

Na Rich Sam   
WAUNGWANA Bwana, waliamua kumuanzishia kwa Mara Nyingine Rapper Desiigner baada ya siku kadhaa kumtuhumu kuwa jamaa ni mkali wa Ngoma moja tu, na kwisha Habari yake.

Lakini Hivi majuzi tena, Desiigner aliingia katika Kashfa Nzito kwa kubainika kuwa alicheza na Dume lililojibadilisha Jinsia na kuwa mwanamke, linalojulikana kama SIDNEY STAR, walipokuwa kunako moja kati ya viwanja vya bata

Sasa, baada ya Video kufika mikononi mwa watia Ndimu, walianza kumshambulia Vilivyo bwana Desiigner huku wakidai kuwa safari yake inaelekea mwisho , wengine wakisema kuwa huenda alillitindua Usiku wake, huku wengine wakisema sasa wasanii wanaofulia wanaanza kufukuzia wanaume waliobadili jinsia na kuwa wanawake na mwisho wa siku wanaaibika kama ilivyokuwa kwa Bobby Valentino

Ili kuliweka sawa jambo hilo, Desiigner aliamua kujirecord kunako Video Clip na kudai kuwa, binafsi yeye hakuwa anafahamu kama Yule ni mwanaume aliyebadili Jinsia na kuwa mwanamke, bali alimfuata tu kama Shabiki na kucheza naye, ukizingatia yeye ni mtu maarufu, hivyo watu wa aina mbali mbali ambao humfuata, hawezi kuwachunguza histroia zao hasa wanapokuwa Club au kazini

IMEFICHULIWA !!!: SEAN KINGSTON ATHIBITISHA KUWA ALIWAHI KUWA NA MAHUSIANO YA KIMAPENZI NA SERENA WILLIAMS KIPINDI CHA NYUMA< NA NDIYE MTU MAARUFU KUTOKA NAYE

12:41:00 AM Add Comment

Na Baba Juti
SEAN KINGSTON kaamua kuanika kile ambacho watu wengi tulikuwa hatukifahamu katika Maisha yake ya Umaarufu na kadharika.

Hitmaker huyu wa "Beautiful Girls" , amedai kuwa katika maisha yake ya kutinduana , ameshawahi kupita na Bibie SERENA WILLIAMS ambaye ni Mcheza Tenis hatari sana kwa upande wa wanawake hapa ulimwenguni.

Akizungumza kwa Ujasiri kabisa, Sean Kingston ambaye Hivi sasa yupo katika Mahusiano ya kimahaba na Mwanamitindo Angela, alidai kuwa, alipata angalau nafasi ya kufurahia naye, japo Serena alikuwa ni Mtu wa gharama sana na alikuwa akinunua vitu vya kampuni yenye gharama

Kingston anaongeza kuwa, hakuona tatizo kutumia Mijihela mingi sana zaidi ya USD Milioni 300 kwa Serena hasa kunako Maduka ya NIKE na kadhalika, maana alikuwa bado ni Mdogo kipindi hicho na alikuwa akispend tu bila mpangilio.

Tunamnukuu
"Alikuwa akipendelea Kuvaa vitu vya gharama, na alikuwa akivaa Mavzi ya Kampuni ya NIKE. na unajua ni nini,nilipokuwa nikienda naye sehemu yoyote, halafu nikatoa kadi yangu ya benki, alikuwa akinipiga mkono na kuniambia niirudishe Mfukoni kadi hiyo, ila nilikuwa nikimuambia, Ooh, Miss Serena Williams, endelea na kile unachotaka kufanya....."

Lakini ukiachilia mbali suala Hilo, Sean Kingston bado kamsifia Serena hasa kipindi ambacho alikuwa akimjali sana wakati yupo katika matatizo, ikiwemo kulazwa Hospitali na Serena alikuwa akija kwa Takriban siku saba mfululizo kumjulia hali.

Pia akaongeza kuwa, Namkubali sana kwa yale ambayo alimfanyia, na bado ni rafiki yake na anajivunia kuwa Serena anafurahia hivi sasa maisha ya Ndoa na familia Nzima kiujumla

YAMEFIKIA HAPA !!!!: KANYE WEST KUANZISHA MTANDAO WAKE WA KU-STREAM ILI KUCHUANA NA TIDAL YA JAY Z

12:13:00 AM Add Comment

Na Baba Juti   
#WatuWaMungu Hatimaye inaanza kudhihirika Rasmi kuwa ukaribu ama mahusiano ya Wawili ambao walifanya vziuri kabisa kunako soko la Muziki wa Hip Hop, yanaelekea kupotea rasmi na kuingia katika uhasimu wa hali ya Juu.

Hapa namzungumzia Rapper Jay Z pamoja na Kanye West, ambao waliingia katika uhasama wa hali ya juu huku kila mtu akimtuhumu mwenzake kwa kuanzisha noma hilo

Sasa, Taarifa ambayo tuko nayo ni kwamba, Kanye West ameamua kufungua Mtandao wake wa huduma za Kustream Muziki mbali mbali kwa dhumuni la kupambana na TIDAL: ya JAY Z

Licha ya kuwepo kwa taarifa rasmi kuwa, Jay Z na Kanye West watahusika katika mazungumzo ya moja kwa moja yaani face to face ili kuondoa tofauti zao ambazo zingeathiri mtandao wa TIDAL ambapo Jay Z alimjumuisha Kanye West pamoja na Nyimbo zake kwa ajili ya huduma za kustream, lakini Mambo yamekuwa tofauti baada ya Kanye West kutangaza ujio wa Huduma yake mpya mabyo inaashiria kuchuana vikali na Jay Z

Katika hatua ambayo haikutarajiwa, Kanye West alitangaza Rasmi kuanzisha huduma hiyo ambayo itaitwa YEEZY SOUND

YEEZY SOUND itajihusisha na masuala ya Recording, Kupromote Muziki, Videos na Audio, lakini pia huduma ya Kustream, na mengineyo

WEDNESDAY 08TH NOVEMBER : X-RAY DAY

12:50:00 AM Add Comment

DAYS OF THE YEAR  
If the hand be held between the discharge-tube and the screen, the darker shadow of the bones is seen within the slightly dark shadow-image of the hand itself… For brevity’s sake I shall use the expression ‘rays’; and to distinguish them from others of this name I shall call them ‘X-rays’.
– Wilhelm Röntgen

In 1895 there was an incredible discovery made, one that would utterly change the way we looked at the human body, both literally and figuratively. On the back of this discovery, a million new technologies would be developed in the areas of medicine, security, and much more. The man who discovered all this? Wilhelm Röntgen, and as a result, he may just be one of the most important men in medical history. X-Ray Day celebrates his discovery and everything that’s come from it.

    History of X-Ray Day   
The X-Ray was discovered by accident, as part of an experiment where Wilhelm was attempting to ascertain whether or cathode rays could pass through glass. Nearby there was a chemically coated screen, and from it was emanating an odd glow, and dubbed the rays causing that glow X-Rays. Why you ask? Because he didn’t know what they were, so the ubiquitous ‘X for unknown’ was utilized. They’ve been called X-Rays ever since.

So what are x-rays really? They’re energy waves of electromagnetism that act in much the same way light rays do, but with an incredibly short wavelength. 1,000 times shorter than those of light to be precise. Once he discovered them, he began experimenting extensively with them, determining what they could and couldn’t pass through, and how they could be photographed. It was through this that he discovered that lead absorbed it almost completely, and human bone would stop it, creating a new and innovative way to see what was going on inside the human body.

X-Rays were used extensively during the Balkan War to locate shrapnel, bullets, and broken bones in soldiers in the field. X-Rays were used extensively in things like shoe-fittings until it became apparent that it wasn’t all fun and games. Now they’re used for things like security at airports, material analysis, and more, but with much more attention to safety.

  How to celebrate X-Ray Day   
The best way to celebrate X-Ray Day is to research X-Rays and what they’ve done for us. Then you can sit down and try to think of all the different ways that x-rays are used in modern living.

KUDADADADAEKI !!. NI KWELI SEAN KING STON AMEFULIA KIMUZIKI NA HATA KIMKWANJA KAMA INAVYODAIWA, ILA UMEMUONA DEMU WAKE?

12:47:00 AM Add Comment

Na Baba Juti   
WAUNGWANA !!!!!!. Mtu anaweza akawa anadaiwa kufulia saaaana, akakutana na kichambo cha hapa na Pale na ukosoaji Mrefu sana kuhusu maisha yake, lakini bwana, kama Manzi wake anampenda , wala hawezi kumuacha

Dance Hall Big Bway-SEAN KINGSTON amedhihilisha kuwa, kufulia kimuziki haiwezi kumfanya pia akafulia katika Sekta ya Mademu wa kali, maana yuko Fit Kupita Maelezo.

Tofauti na Rappers wengine ambao wamekuwa wakijikita kwa wanawake ambao ni wacheza Utupu katika - Club za Wacheza Utupu, ama kutinduana na Makahaba, SEAN KINGSTON kajitupa kwa Binti Mrembo kuliko kawaida anayeitwa ANGELA, ambaye pia ni mwanamitindo.

Tofauti na Uanamitindo, Shemeji yangu kwa Sean Kingston, pia ni Mtaalamu wa masuala ya TECHNICAL Issues, hivyo yuko Vizuri kila Kona

Sean Kingston amekuwa akiandamwa na mabifu ya hapa na pale huku akidaiwa kufualia sio kimuziki tu, bali hata kimkwanja, lakini hivi majuzi kadhihirisha kuwa hayo yote mtayasema ila bado atabaki kuwa na Demu Mkali balaa

MTIZAME HAPA MREMBO HUYU MATATA





BAADA YA KICHAMBO !!!! : HATIMAYE MARIAH CAREY AMEFANYIWA UPASUAJI WA KUPUNGUZA "UBONGE" ALIOKUWA NAO

12:26:00 AM Add Comment

Na Rich Sam  
#WatuWaMungu JUMATANO ya Leo Tunaisukuma Hivi tukijikkita katika Nchi ya Marekani ambako kuna taarifa kuhusu Mkali na Mkongwe wa R&B na POP, Mariah Carey.

Kwa Mujibu wa Taarifa za Uhakika, inasemekana kuwa Hitmaker huyu wa Mkwaju wa TOUCH MY BODY amefanyiwa Upasuaji wa Kupunguza Unene katika Mwili wake

Chanzo kimoja kilichopo karibu na Mariha Carey kimedai kuwa, Mwanamke huyo amekuwa akijivunia muonekano wake , lakini hivi karibuni ni kama kumekuwa na Ukosoaji mwingi sana kuhus Mwili wake, hali ambayo imemlazimu kuanza kuupunguza Mwili wake ambapo mwezi kama mmoja uliopita, alianza taratibu za kufanyiwa upasuaji, na hivi sasa anaendelea Vizuri

Pia chanzo hicho kimeongeza kuwa, Mariah Carey hivi sasa anaonekana kuufurahia sana muonekano wake mpya, na anaamini kabisa kuwa hakuna atakayemzungumzia ibaya hasa wale wakosoaji na wachambaji wa Miili hasa ile ya Kibonge Bonge

HAYA! HAYA! HAYAAAA!: BOBY BROWN MBIONI KUACHIA MFULULILIOZ WA HISTORIA YA MAISHA YAKE. JANET JACKSON PIA NDANI !!!!!

12:19:00 AM Add Comment

Na Baba Juti     
#WatuWaMungu Inabidi Mkae tayari kwa hiki ambacho kinatarajiwa kuushangaza ulimwengu kwa asilimia fulani ambayo huenda ikawa ni kubwa zaidi

Kitucha cha Televisheni cha BLACK ENTERTAINMENT Nchini Marekani , maarufu kama BET, kimetoa taarifa kuwa kinatarajia kuanza kuonesha Historia ya Maisha ya Msanii Mkongwe wa Rn B na Pop, Bobby Brown

Taarifa zimezidi kumiminika kuwa, BET wataanza utaratibu huo hivi karibuni kuoneshja kila kitu kinachohusu maisha ya Mkongwe huyo ambaye pia alikuwa ni mume wa Marehemu Whitney Houston  na baba Mzazi wa Marehemu Bibi Kristina Brown

Katika Historia hiyo, Boby Brown tazungumza utukutu wake , Maisha yake na familia yake, Ndoa yake na Whitney Huston, na mengineyo

Lakini kubwa ambalo linawatia hamu kila mtu, ni namna ambavyo Boby Brown atafyatuka na kuanika hadharani kuhus namna ambavyo alikunjuka na JANETH JACKSON akama ilivyowahi kuzungumzwa hapo Awali

      IKUMBUKWE      
Boby Brown aliwahi kuingia matatani mwaka huu, na moja kati ya Kampuni ya kuandaa filamu iliyokuwa imetengeneeza Filamu kuhusu Boby Brown na familia yake, na baada ya kufikisha mahakamani kesi hiyo , alishinda, na filamu kuzuiwa.

Hii inaweza ikawa ni Faida kubwa kwa Boby Brown kuuza sana na hata kuvuna mkwanja kupitia Historia yake, na pengine ndio maana aliamua kuwamaind wale jamaa

MSIONE NIMEKAA KIHASARA !!!! : VANESSA MDEE ATANGAZA UJIO WA ALBUM YAKE HIVI KARIBUNI

2:45:00 AM Add Comment

INSTACOP   
KAMA ulikuwa unadhani labda Msanii kutoka Nchini Tanzania, VANESSA MDEE labda amekaa Kihasara, basi Pole sana, kuna jambo kubwa la Msingi ambalo anatarajia kulifanya Hivi Karibuni

Vanessa Mdee Maarufu kama V Money, ameamua kuingia pia katika Ushindani Mgumu wenye changamoto ya aina yake hapa Nchini tanzania, kwa kuamua pia kuingiza Albu Yake Sokoni ambayo inatarajiwa kutua hivi karibuni

Kupitia Instyagram account yake yeye kama yeye, V MONEY maarufu kama CASH MADAME Pia, aliandika wazi kuwa Msione amekaa Kihasara, bali kuna faida zake ambazo anazitafuna, hivyo mtarajie Album Mpya.

MNADA BANNER