WELCOME TO ..... (KARIBU KATIKA..)
REPIN ROCK CITY
DJ KHALEED IS BACK ONLINE
Featured Mnada News
New York, MAREKANI
BAADA ya Kukaa Kimya
kwa Muda kadhaa tangia aachiae Projects zake, The Big Boss wa “WE THE BEST
MUSIC”-DJ Khaleed, hatimaye ameamua Kurejea Kwa Nguvu Zote.
This Time, Ex-Member
Huyu wa CASH MONEY RECORDS LABEL,amerudi na Albam Mpya ambayo ameipa Jina la I
CHANGED A LOT, ambayo Very Soon ataiachia Sokoni.
Mzigo Huo ambao
Utadrop OCTEBER 23 kunako Soko la Wababe wa Mikwaju na Packages za Albam,
umewashirikisha Wakali Kibao akiwemo Jay Z, Lil Wayne, Big Sean, Meek Mill,
Rick Ross, Jeezy , Chris Brown, August Alsina, Jeremih, French Montana, Ace
Hood, Fetty Wap, na Wengineo Kibaaaaao
LIST ambayo
itapatikana Kunako Albam Hiyo ya DJ KHALEED, ni kama Ifuatavyo:
1. I Don’t Play About My Paper (feat. Future
& Rick Ross)
2. I Ride (feat. Boosie Badazz, Future, Rick Ross & Jeezy)
3. Gold Slugs (feat. Chris Brown, August Alsina & Fetty Wap)
4. I Swear I Never Tell Another Soul (feat. Future, Yo Gotti & Trick Daddy)
5. I Lied (feat. French Montana, Meek Mill, Beanie Sigel & Jadakiss)
6. How Many Times (feat. Chris Brown, Lil Wayne & Big Sean)
7. You Mine (feat. Trey Songz, Jeremih & Future)
8. Every Time We Come Around (feat. French Montana, Jadakiss, Ace Hood & Vado)
9. I Ain’t Worried (feat. Ace Hood & Rick Ross)
10. They Don’t Love You No More (feat. JAY Z, Meek Mill, Rick Ross & French Montana)
11. My League – Mavado
12. Hold You Down (feat. Chris Brown, August Alsina, Future & Jeremih)
13. Most High (feat. John Legend)

Deluxe edition:
14. Hold You Down (Remix) [feat. Usher, Rick
Ross, Fabolous & Ace Hood]
15. Gold Slugs (Instrumental) [feat. Chris Brown, August Alsina & Fetty Wap]
16. I Lied (Instrumental) [feat. French Montana, Meek Mill, Beanie Sigel & Jadakiss]
15. Gold Slugs (Instrumental) [feat. Chris Brown, August Alsina & Fetty Wap]
16. I Lied (Instrumental) [feat. French Montana, Meek Mill, Beanie Sigel & Jadakiss]
#GoodNewz : JANET JACKSON AMERUDI KWA NGUVU, FAHAMU HILI JIPYA KUHUSU YEYE:
News
MAMITO ambaye alikuwa amepotea katika Game kwa
Takriban Miaka 7, Janet Jackson, hatimaye amedhihirisha kuwa, bado ni Moto wa
Kuotea Mbali though kuna baadhi ya Watu kama hawamuelewi.
Kwa mujibu wa Info ambazo zimetufikia “Wafukuza
Mapepo”, Mkali huyu ambaye pia ni dada wa Marehemu Michael Jackson, Albam yake
ya THE UNBREAKABLE, ambayo ameiachia rasmi Hivi majuzi Tu, hatimaye imeshika
nafasi ya Kwanza katika Charts za BILLBOARD TOP 200, na kuvuta Hisia zaidi kwa
watu mbali mbali kuzidi kuisaka.
JANET ambaye hivi sasa anafanya Poa na Mizigo
Miwili, NO SLEEP na BURN IT UP aliomshirikisha Missy Eliott, Ndani ya Wiki ya
Kwanza, Albam yake Mpya Hiyo, iliweza kuuza nakala 116,000, kitu ambacho
kinaashiria ni ujio Mzuri wa Bibie huyu ambaye watu walikuwa kama Wameshamsahau
katika Music Industry
Tofauti na Hayo, Albam ya UNBREAKABLE imekuwa ni
ya kwanza akiwa Nje ya Management, yaani akiwa Huru.
Albam ambazo zimewahi kushika namba Moja kutoka
kwa mamito huyu ni pamoja na Discipline album (2008). Miss
Jackson’s other top spot projects include All For You (2001), The
Velvet Rope (1997), janet. (1993), Janet Jackson’s Rhythm
Nation 1814 (1989) na Control (1986).
Subscribe to:
Posts (Atom)