WELCOME TO ..... (KARIBU KATIKA..)
REPIN ROCK CITY
PREZZO AMEONGEZA MWANAFAMILIA MWINGINE?
Featured News
RAPCELENCY
CMB PREZZO-Jackson Makini, amekuwa kimya sana katika Burudani na Soko zima la
Muziki wa Kizazi Kipya.
Ingawa
“Wafukuza mapepo” tulikuwa tukikutana na baadhi ya Shughuli mbambali ambazo
amekuwa akizifanya katika “Daily Life Hustling” zake.
Leo
Kupitia Instagram account yake, tumebaini kuwa, tayari Rapper huyu kutoka
Nchini Kenya, ameamua kuongeza Familia kwa Kuongeza Prezzo Mwingine.
Kupitia
Picha Mbili ambazo tumezinyaka, Prezzo alionekana akiwa karibu na watoto ambao
wanalelewa na Kituo cha Grace Community Childrens Home kilichopo huko Huko
Nchini Kenya.
Kwa
mantiki Hiyo , inawezekana kabisa kuwa, Prezzo ameamua kumuasili Mtoto Yule,
ama kumsimamia Mtoto huyo katika Malezi, jambo ambalo linamfanya ahesabu kuwa
ameongeza Memba Mwingine kunako CMB FAMILY…
Prezzo
aliweka Caption kuwa, Mtoto huyo wa Kiume anaitwa GABRIEL PREZZO.
Tunamnukuu:
I
feel L.O.V E #GraceCommunityChildrensHome The youngen I am carrying is now the
newest member of CMB. Ladies & Gentlemen meet Gabriel Prezzo #Rapcellency
#TrulyUnruly # جاكسون مكيني
KANYE WEST NA URAIS: MGOMBEA MWINGINE AMUUNGA MKONO.
Featured News
IKIWA ni siku Chache tu baada ya kutangaza kuwa,
Mwaka 2020 anatarajia kugombea nafasi ya Urais, hatimaye Mgombea Mwingine wa
Urais, amempongeza Kanye West kwa hatua aliyofikia.
Donard Trump ambaye anafukuzia nafasi ya kuwania
Urais kupitia Chama cha REPUBLICAN, katika Uchaguzi Mkuu wa Nchini marekani,
2016, amempongeza na hata kumsifia Rapper Kanye West hasa kwa mawazo yake na
Ujasiri wake aliopupata hasa katika kufikia hatua Hiyo.
Katika Kufafanua, Donald alidai kuwa, alikuwa
akimtizama kanye West akitoa Tamko rasmi kuwa, Mwaka 2020 anataraji kuwania
Urais, kitu ambacho kilimfanya ajisemee kuwa, hilo ni jambo zuri sana. Tofauti
na Hilo, Donald anajiuliza alipata Wapi wazoo hilo la kuwania Urais, lakini
Yeezy ni Mtu Mzuri tu, yuko tofauti sana na namna ambavyo watu wanamtafsiri.
Katika Kukazia zaid, Donald ambaye zamani
alikuwa ni Mtangazaji wa Luninga, amedai kuwa anaamini Atakutana naye katika
harakati za Uchaguzi mwaka 2020
Subscribe to:
Posts (Atom)


