WELCOME TO ..... (KARIBU KATIKA..)
REPIN ROCK CITY
#SportsNaBurudani: FLOYD MAYWEATHER HAFUI DAFU MBELE YA HUYU DADA !!..AMECHAKAZWA VIBAYA
Featured News![]() |
| Ronda akipokea Tuzo Yake |
INAWEZEKANA kabisa kuwa Floyd Mayweather Jr
akawa ni Moja kati ya Mabondia wanaoogopeka na hata kukubalika zaidi
ulimwenguni, lakini mbele ya Huyu Dada, ni Kitu Kingine kabisa.
RONDA ROUSEY Bondia Wa Kike Kutoka Nchini
Marekani, ameweza kumpiga Chini Bondia Mayweather Jr, katika Tuzo za ESPY Siku
ya Jana, JUMATANO JULY 15,2015
Katika Tuzo Huyo, Bibie Huyo ambaye ni Mbabe ama
Champion wa UFC’s WOMEN’S BANTAMWEIGHT, aliweza kukusanya Kura Nyingi zaidi
kumzidi Floyd Mayweather, Terence Crawford na Gennady Golovkin pamoja na Mkali
wa “Mixed Martial” DONALD CERRONE, Katika Kipengere cha BEST FIGHTER.
Akipokea Tuzo zake, Ronda alimkandia Mayweather
kwa Kumshutumu kuwa, ni Mtu ambaye anajihusisha sana na Ukatili wa Nyumbani
hasa kwa wanawake na jambo hilo litamtesa sana
Tofauti na Kushinda Kipengele Hicho, Ronda pia
alinyakua Tuzo ya BEST FEMALE ATHLETE
PICHA ZAIDI.
#BIRTHDAYswagg: LEO NI BIRTHDAY YASHETTA. HIKI NDICHO ALICHOKIANDIKA JUU YA MAREHEMU MAMA YAKE
Featured Mnada| Shetta (Instagram) |
LICHA ya kwamba ameombewa Baraka Tele na Kuishi
Maisha Marefu na watu Kibao kutoka hapa hapa BONGO, Kuna Kitu ambacho Sheta
anakitamani kutoka kwa marehemu mama yake, nacho ni Kuwepo katika Siku Hii
Maalum
Katika account yake ya Instagram, hiki Ndicho
alichokiandika
“Nashukuru mungu Leo
nimezaliwa tena...Pongezi nyingi kwa Mama yangu mzazi kwa kunizaa na kunilea
katika Mazingira yote ulivumilia mengi sanaaa Natamani ungekuwepo leo japo
Ufurahi pamoja na mimi siku kama ya leo ila Mungu amekupenda zaidi sina jinsi
Inshallah M/mungu akulaze mahala pema peponi na upumzike salama...mwanao bado
napambana na ulimwengu #R.I.P
maisha marefu na yenye mafanikio zaidi....#HappyBirthDayToMe”
#BIRTHDAYswagg: LEO NI BIRTHDAY YA THEA. HIKI NDICHO ALICHOKIANDIKA.
Featured Mnada| THEA (Instagram) |
Leo Ni Siku Maalumu Kwa Msanii wa Bongo Muvi
Nchini Since Kitambo Ndumbagwe Maarufu kama “Thea”
Katika account yake ya Instagram, hiki Ndicho
alichokiandika
“Nakushukuru
mungu kwa cku ya leo kwakunifanya mzima na mwenye afya njema kwani wapo
waliotamani kuiona cku ya leo hawajaiona si kama mimi ni msafi sana mbele za
mungu bali ni kwaneema na upendo nakibali alichonipa nitakutumikia wewe mungu
wa mbinguni happy born day to thea’
ENYI WANADAMU, MSIMBANIE RIZIKI SHAMSA FORD, MAANA ANA MTOTO.
Featured Mnada News
INSTACHOCHO leo
imekutana na Post ya Kwanza kabisa kutoka kwa Shamsa Ford, The Beautiful Lady
kutoka kwa Kiwanda cha “Bongo Muvi” ambayop inamuomba Binadamu “Mnafiki” aache
kumbania Riziki Mamito Huyu.
![]() |
| SHAMSA FORD AKIWA NA MTOTO WAKE |
Katika Post Hiyo,
Bibie Huyo amedai kuwa, Binadam huyo
huyo, hatakiwi kufanya hivyo, ukizingatia yeye ni Mama, yaani ana Mtoto.
TUNAMNUKUU:
Nina upendo kwa kila
mtu bila ubaguzi.naishi maisha yangu halisi wala siigizi.Nina huruma kwa kila mtu.Sipendi
ugomvi na mtu.Nakuomba na ww binadamu kabla hujafikilia kunibania riziki yangu
kumbuka nina mtoto ambae anahitaji hiyo riziki.WW binadamu kabla hujanifanyia
ubaya wowote kumbuka nina Mtoto ambae kitamuumiza zaidi ya mm coz furaha yake
ni kumuona mama yake.WW binadamu kabla ya kutaka kuniumiza na kutaka kunipa
stress za kijinga naomba umfikilie mwanangu ambae ananitegemea mm.ukinipa
stress nitashindwa kufanya kazi na mwanangu atakosa haki zake za msingi.Naomba
ww binadamu USINITESE,USINIUMIZE,USINILIZE .kama sina thamani yoyote kwako
naomba ukae mbali na mm kuliko kuwa mnafiki kwangu au kwa ajili ya masilahi
yako binafsi....
#HuweziAmini: NO CONNECTION- NO KUTOBOA NJE
Featured News![]() |
| Dayna Nyange |
UKIMYA wa Dyna Nyange
katika Media mbali mbali na hasa soko la Muziki , inawezekana ni kwa sababu ya
hiki ambacho anakiongelea.
Mkali huyo wa “I DO”,
amefyatuka kuwa, kinachowezesha wasanii kutoboa Nje, yaani Nchi za Nje, ni
kutokana na Connection ambayo inatengenezwa na Wadau pamoja na wasanii
![]() |
| Cindy Sanyu (UGANDA) akiwa na Dayna Nyange |
Na ili kuboresha Connction Hiyo, inabidi angalau
uwe na Connection hasa kutoka Nje.
TUNAMNUKUU:
“Msanii kama Vanessa Mdee leo hii anaanza
kuvuka boda ni kwa sababu ya connection ya watu wa nje alionao, kama aliweza
kufanya kazi na watu wa MTV sasa kwa nini asifike mbali ukizingatia anafanya
kitu kizuri”, alifafanua DaynaUSIKOSE KUTEMBELEA
http://blacktouchez.com
#BIRDMANvsLIWAYNE: RICH GANG WANATUHUMIWA KUHUSIKA NA SHAMBULIO LA BASI LA LIL WAYNE?
Featured News![]() |
| Young Thug & Birdman (Instagram) |
KADRI siku zinavyozidi
kwenda, uhasama wa Lil Wayne na Birdman unazidi kukua na hata kuchukua kasi ya
ajabu hasa katika dalili za kulipiza Visasi.
“Wafukuza Mapepo”
tumekutana nah ii nyingine ambayo safari hii inamtuhumu Birdman na Young Thug
(Wawakilishi wa RICH GANG) kuhusika kwa asilimia fulani katika shambulio la Bus
Tour alilokuwa akitumia Lil wayne, Mwezi april
![]() |
| Jimmy Winfrey & Young Thug |
Kwa Mujibu wa Reporter
kutoka ATLANTA, Kituo cha WSBTV, MIKE PETCHENICK, alifyatuka kupitia Mtandao wa
Tweeter na kudai kuwa Kuna asilimia kubwa kabisa Birdman na Young Thug wakawa
wamehusika katika Mpango wa shambulio la Basi hilo la Lil wayne.
Akifafanua zaidi, Mike
alidai kuwa, Jamaa ambaye alikamatwa kwa kuhusika na shambulio hilo, JIMMY
WINFREY, ni mtu wa karibu sana wa Birdman na Young Thug, hivyo inawezekkana
kabisa akawa alitumwa na wawili hao kutoka RICH GANG
Hata Hivyo, Jombaa
huyo ingawa hakuthibitisha kama Young Thug na Birdman nao walikamatwa kwa
kuhusika na Shambulio hilo, lakini kuna Video ya Young Thug-HALF TIME ambayo
inafanyiwa uchunguzi na Jeshi la Polisi, ambapo inasemekana kuwa, mshambuliaji
Jimmy, alionekana katika Video Hiyo akiwa na Siraha, yaani Bunduki.
USIKOSE KUTEMBELEA
http://blacktouchez.com
Subscribe to:
Posts (Atom)















