WELCOME TO ..... (KARIBU KATIKA..)
REPIN ROCK CITY
WHOA!..HAYAWI HAYAWI SASA YAMEKUWA….
Featured News
Na Frank M. Joachim/Daily Mail
WALISEMA haolewi, sasa kakaolewa, Pongezi za
Dhati zifike kwake SOLANGE KNOWLES ambaye ni Mdogo wake Beyonce, kwa kuweza
kuingia katika Mchakato wa Kuwa kitu Kimoja na Mchumba wake ambaye This Time ni
Mumewe, ALAN FERGUSON
SOLANGE alitamka Neno “Ndiyo” katika Mitaa ya
NEW ORLEANS Nchini Marekani Siku ya Jana, JUMAPILI, ambapo Ilithibitika na
Kuidhinishwa Kuwa tayari wawili hao ni Mwili Moja, Ila sina uhakika kama Moyo
ni mmoja.
TTM iliweza kuzama kupitia Kitengo Chimbua
Chimbua, na kupata Uhakika kuwa, Ndoa Hiyo ilikuwa ni Ya Kipekee na Tofauti
sana, ambapo wawili hao walionekana kujawa na Nyuso za Furaha, huku wageni
waalikwa wakiwa ni wachache lakini Muhimu sana
·
Wageni
Muhimu :
Kulikuwa na wageni Muhimu ambao walikuwa ni
tazamio kubwa sana kuweza kuhudhuria Ndoa Hiyo ambayo ilioneakana kumvutia.
Familia ya CARTER, nam,zungumzia JAY Z (Shemeji ake Solange), Beyonce (Dada ake
Solange) pamoja na Mtoto wao Blue Ivy
Tofauti na Hilo, mama Mzazi wa Solange pamoja na
Beyonce, naye alitia Timu katika “Ubwabwa” huo ambao ulinukia balaa
·
Mavazi
Kwa Shughuli Nzima
Shughuli Nzima iling’aa sana ukizingatia
Dressing Code ya Ndoa na Hafla yote Kiujumla, ilikuwa ni Mavazi yenye rangi
Nyeupe. Jay Z alinyonga SUTI ambayo hakika itabaki kuwa gumzo na Kumfanya
aonekane tofauti kabisa hasa kimuonekano.
Maharus wote waligonga Kitu White, na kuifanya
Ndoa hiyo kujawa na Weupe wenye Full happinesses
·
Usafiri
Ulikuwa Balaa
Tofauti na Vile ambavyo Tumezoea Siku zote,
tunaonaga Maharusi wakiwa wamejificha ndani ya magari yenye Thamani sana na
hata yakiwa Tinted, huku wengine wakiwa Kunako magari ya wazi ili tuone
walivyopendeza, lakini huku imekuwa ni Toooofauti.
SOLANGE na Mumewe ALAN FERGUSON, walipanda
katika baiskeli ambazo pia zilipigwa Rangi Nyeupe
Kitu cha kushtua Kidogo, ni kwamba Mume alikuwa
katika baiskeli iliyoonekana kuwa na Pancha, huku tukijiuliza kuwa what was
That.
Pia baiskeli ya mamito SOLANGE, ilionekana kuwa
na maua Fulani hivi ambayo yanaashiria huyu ndiye Mwali ati…
·
Tujikumbushe
Hii itakuwa ni Mara ya Pili kwa Solange kufunga Ndoa, ambapo awali alifunga ndoa na jombaa anayefahamika kwa jina la DANIEL SMITH, na Walifanikiwa kupata mtoto DANIEL JULEZ ambaye hivi sasa ana Umri wa Miaka 10
Hii itakuwa ni Mara ya Pili kwa Solange kufunga Ndoa, ambapo awali alifunga ndoa na jombaa anayefahamika kwa jina la DANIEL SMITH, na Walifanikiwa kupata mtoto DANIEL JULEZ ambaye hivi sasa ana Umri wa Miaka 10
BBA HOT SHOTS: IDRIS IS TOTALLY SAFE..LAKIN HILO KISS SASA, DOH
Featured News
BLACK TOUCHEZ
EDITORIAL
WIKI iliyopita,
Idris aliingia katika Kikaango Kizito sana ambacho kilikuwa kinaamua, aidha
utoke, ama Ubaki. Sasa, mbaya zaidi ni kwamba, Idris ndiye mtanzania pekee
aliyekuwa akitumainiwa sana, na mpaka sasa baodo anatumainiwa katika Jumba hilo
la Big Brother
BUT, Ladies and
Gentlemen….MAKE SOME NOISE FOR THE BONGO REPRESENTATIVES, IDRIS, sasababu
ametisha zaidi ya kutisha kwa kuendelea kubaki na kuiwakilisha Tanzania kunako
Jumba Hilo.
Kama hauna imani
kuwa this Bway ataleta Heshima hapa Nchini Tanzania, basi Kill Yourself sababu
mambo yanenda Vizuri
IDRIS aliweza
kupata Kura NNE ambazo alilingana na GOITSE, hali iliyowafanya kubaki swalamaaaaaa
·
Wawili Wamesanzuka:
WAWILI wameweza
kusepa kunako Shindano hilo huku wakiacha nafasi izidi kuchukua kasi yake hasa
kwa Washiriki wachcahe waliosalia
KURA 2 Ndizo
zilimfanya MR 265 Kutoka Malawi aweze kuyaaga Mashindano hayo na kuachia Ngazi
Kabisa, huku Kura Moja, ikimfanya SAMANTHA Kutoka SOUTH AFRIKA aondoke bila
kigugumizi chochote
KURA 3 Zilimfanya
MACKY 2 aponee kunako tundu kla Sindano na Kubaki katika Jumba hilo.
·
Busu La Nguvu Baina Ya Idris Na Ellah
AFRIKA Mashariki
inaweza ikajikita zaidi katika kutoa Support kwa washiriki wake wawili ambao ni
IDRIS kutoka Bongo na ELLAH Kutoka Nchini Uganda
Kwanini tunasema
hivyo, Baada ya Idris kusaka faraja kwa muda kadhaa kutoka kwa Ellah, hatimaye
ameipata, baada ya Kujikuta akidandiwa na Busu la Mdomoni yaani LIPS LOCK
Itamuumiza
GOITSE?
HII NI HELMET AMBAYO HAIJAWAHI KUTOKEA DUNIANI?
Featured News
Na Frank M. Joachim
RAIA Wa Sydney, TONY KING,amegundua
Helmet ya baiskel ambayo kiujumla hakuna anayebisha kuwa Helmet hiyo haijawahi
kutokea Duniani.
Helmet hiyo ambayo imepewa Jina la
SMART HAT, itajumuisha Vikolombwezo Kibwena ambavyo vitaifanya kuwa ya kipekee nay
a aina yake
Helmet hiyo itakuwa na NAMBA ZA USAJILI
tofauti na ilivyozoeleka, huku ikiwa na INDICATORS ambazo zitakuwa zikikueleza
wapi pa kuelekea.
Tofauti na hilo, Helmet hiyo itakuwa na
Camera maalum ambazo zitakusaidia kutizama na kufahamu ni kipi ambacho kiko
mbele yako, ikiwemo umbali wa Kitu kilichopo Mbele yako.
Kama haitoshi Helet hiyo itakuwa na
BLUETOOTH MAALUM ambayo pia itasaidi katika Masuala mbali mbali
Pia itakuwa na Taa za Brake, Wiper na
vinginevyo.
TUWAKILISHE VEMA MAMA
Featured
“Ndugu
zangu Watanzania, I am safe in London For Miss World 2014. I am Immensely
honored to represent my country Tanzania”
Hiyo ni
Kauli ya Mwakilishi wa Tanzania Katika Shindano la MISS WORLD 2014, HAPPINES
WATIMANYA
SHINDANO
la Miss WORLD 2014, litafanyika DECEMBER 14, 2014 Jijini London
Warembo
130 watapishana jukwaani kuweza kutizama nani atakwaa Taji hilo
HATIMAYE: PICHA ZA MWILI WA MAREHEMU ERNESTO CHE' GUEVARA AKIWA AMEKUFA ZIMEPATIKANA BAADA YA MIAKA 47 TANGU KIFO CHAKE
Featured![]() |
Mwili Wa Ernesto Che Guevara ukiwa Umezungukwa
na Familia Yake
|
Frank M. Joachim/ daily mail
MWANAUME mmoja amejitokeza na kuonesha Picha Za
Mwili Marehemu CHE GUEVARA ukiwa na majeraha mengi, uliopatikana huko BOLIVIA,
Hispania
Jamaa huyo ambaye ametambulika kwa jina la
IMANOL ARTEAGA amedai kuwa, Mjomba Wake ndiye aliyezileta Picha hizo kutoka
huko Huko Bolivia, alipokuwa ameenda katika Harusi ya wazazi wake, ambao
walifunga ndoa November 1967.
Marehemu Ernesto Che Guevara aliauawa OCTOBER
9,1967…nasiku moja kabla, alikamtwa na Jeshi la BOLIVIA.
Arteaga anadai kuwa, mama yake na Shangazi yake
wanathibitisha kuwa, picha hizo zilikabidhiwa kwa Mjomba wake, na Mwandishi wa
habari mwenye asili ya Kifaransa
Aidha inataarifiwa kuwa, picha Hizo zilipigwa na
Mwandishi wa habari MARC HUTTEN kutoka Shirika la Habari la AFP, aliyekuwa BOLIVIA,
Hispania
WHAAAAAAAAAAAAT: HUWEZI AMINI ALICHOKISEMA KANYE WEST JUU YA PICHA ZA UTUPU ZA KIM KARDASHIAN KWENYE JARIDA
News
Na Frank M. Joachim/Twitter - Kanye West
WIKI Hii nzima imekuwa ni ya Kim Karadshian hasa
baada ya Kupiga Picha inayoonesha “Matikiti maji” yake makubwa Kweli (Makalio)
katika Jarida la PAPER, ukurasa wa Mbele kabisa
Lakini Wakati watu wakizidi kustaajabu Mengi
zaidi kuhusu Ishu Hiyo ya Kim Kardashioan kuonesha Viungo vyake Muhimu vya Siri
kabisa, Ghafla zikashushwa Picha Nyingine zilizokuwa zikimuonesha Kim
Kardashian akiwa Mtupu kabisaaaaaa
Sasa, wamejitokeza Watu Wengi ambao wamekosoa
Kitu hicho ambacho kiuhalisia kinadhalilisha, hasa ukizingatia yeye ni mama wa
Mtoto mmoja “North West”
Hayo yote yamekuwa Si Chochote wala Si lolote
kwa Kim, ila cha msingi ni “Mpunga” (Pesa) ambayo ameivuta kutokana na Picha
hizo
KANYE WEST AMESEMA HIVI:
Kama ulikuwa unajiuliza kuwa, Mume wake-Rapper
Kanye West atafanya nini kuhusu kila kinachoendelea hasa ikiwa ni Mkewe na
alichokifanya kinaonesha “halalali yake”, basi Tulia.
Kupitia account yake ya Twitter, Kanye West
alipost Picha ya jarida hilo na Mkewe kama kawaida, huku akiandika Kitu Kimoja
Tu….ALL DAY
Sasa, kama hujaelewa, Kanye West hana tatizo na
Mkewe Huyo, bali anaona ni kawaida. So Sidhani kama kuna haja ya kulalamika kwa
upande wako.
ETI MAMA YAKE NA KIM KARDASHIAN HAJAFURAHISHWA
NA PICHA HIZO:
Ingawa si kwa kauli yake, bali rafiki wa karibu
wa Kris Jenners, ambaye ni mama wa Kim Kardashia, amesema kuwa Mama huyo
hajafurahishwa na Picha hizo alizopiga mwanaye !!!!
WHAAAAAAAAT!!!! (anadhani ataibiwa Kiserengeti
Boy Chake, endapo kitaona utamu wa Kim Kardashian)
INASIKITISHA: TIZAMA MABINTI WAKIFANYIWA TOHARA NCHINI KENYA, KINYUME CHA SHERIA (SAMAHANI KWA PICHA UTAKAZOONA)
Featured News![]() |
MAUMIVU:BINTI wa KIPOKOT (Pokot) akiwa katika
maumivu makali baada ya kufanyiwa Ukeketaji.
|
![]() |
TUKO TAYARI: MABINTI wengine Wa Kipokot Kutoka
Nchini Kenya, wakiwa tayari kupelekwa mahali kwa ajili ya Tohara
|
![]() |
TAYARI: Baada ya Tohara, mabinti wa Kipokot
huvalishwa Ngozi kuwafunika
|
![]() |
MUONEKANO: Binti wa Kipokot anapakwa rangi
Nyeupe Usoni na Mwili Mzima kabla ya Tendo la Tohara (FGM)
|
![]() |
TUNAKUANDAA: Wanawake wakimuandaa Binti tayari
kwa Tendo la Tohara
|
![]() |
TUNASUBIRI: Mabinti wa Kipokot Hukaa katika Mawe
wakiwa “Watupu” na wamevalia Ngozi, tayari kwa Kufanyiwa Tohara (Ukeketaji)
|
![]() |
Mabinti wengine wakiwa Majumbani kwao kusubiri
Zoezi zima la Tohara
|
![]() |
NI UTAMADUNI: Wanawake wa Kipokot, huandaa
Mazingira kwa Kuweka Mawe, ambayo yatatumika kipindi cha Tohara kwa Mabinti wao
|
![]() |
MUDA UMEFIKA: Muda ukiwadia, Mabinti hutolewa
Nje ya Nyumba zao, tayari kuelekea katika Tohara
|
![]() |
Hukimbia Mbio kuelekea mahali ziliko Ngozi, na
kuzivaa ili waelekee katika Zoezi la Tohara
|
![]() |
NI LAZIMA: Hata kama hautaki, wazazi kwa
Kushirikiana na wazee wa kabila hilo, hukulazimisha kutoka ndani ya Nyumba, ili
ukafanyiwe Tohara
|
Subscribe to:
Posts (Atom)



























































