WELCOME TO ..... (KARIBU KATIKA..)
REPIN ROCK CITY
INSTA MCHEPUKO- WEMA SEPETU AMESHINDWA KABISA KUJIZUIA, NUH MZIWANDA NA SHILOLE...DOH
Featured News
UJIO WA VANESA MDEE
HAWAJUI Ndio Ngoma Mpya ambayo Inatarajia Kuachiwa 13.6.2014 na The Baddest Gal Vannessa Mdee.
Mzigo Umepikwa na Producer Nahreel. Tusubiri Mbwadidi Lenyewe
NEY WA MITEGO'S HOOD
Big Up Sana Kwa Nay Wa Mitego "The True Boy Himself" kwa Kuweza kujipatia Mjengo Mtamu sana kama Huo ambao ameutupia kupitia Account yake ya Instagram.
Tofauti na Building hilo, Nay wa Mitego Pia anajivunia Kuwa na Ndinga kama Hiyooooo..Unayoiona hapo........
RICH MAVOKO AMEKUWA REFIXED
Producer Lamar amekuwa akiendelea na Project yake ya REFIXES ambapo anafanya Kuzibadilisha Mahadhi Tracks kadhaa, na kuzipeleka katika Pop Style.
Leo ilikuwa ni Siku ya RICH MAVOKO, ambapo Kwaju lake la ROHO YANGU (REFIX) imeachiwa Rasmi Leo, So Unaweza kuipata Soon hapa hapa Black Touchez
MWAAAAH ...MY NUH MZIWANDA:
Katika Safari ya Kuelekea Dodoma, SHILOLE alionekana akimbusu Mahaba Niue wake Nuh-Mziwanda, huku QUEEN DARLEEN naye akiongezea la Kwake...
Basi Braza akafumba macho Mwenyewe..E Bwana Weeeh !!!!
KUNA HARUFU YA KITU HAPA:
Hii Ni "Kombineshen" ya Picha ambazo Rapper, Muimbaji na Mwandishi wa Muziki wa Kizazi Kipya aliipost kunako Account yake ya Instagram
katika Picha hiyo, Ninahisi kuna jambo ambalo linanukia kabisaaaaa...maana Namuona Producer NAHREEL akiwa kwa Mitambo yake, The same to Mwanadada Shaa, akionekana Kuwa Booth.
SOMETHING IS COMING UP..Ngoja "Niwone"
WEMA NAYE !!!!...AKASHINDWA KUJIZUIA KABISA....
Leo Bandugu, Track ya MDOGO MDOGO ya Nasib Abdul-Diamond Platnumz, Imeachiwa Rasmi Kudaaadeki.
Unaweza Kuipata Vema kabisa, kunako Social Networks, na Soon naitupia kunako BLACK TOUCHEZ...
Sasa Bibie Wema Sepetu akaandika Hivi.....Kunako Istagram account yake
BAADH YA PICHA ZA WADAU WA KIPINDI CHA PAMBAZUKO LA METRO FM, LILIVYOENDA VIZURI KATIKA VIWANJA VYA POSTA, JIJINI MWANZA
MwanzaAY, PROF. JAY USO KWA USO NA RAIS KIKWETE
Featured News
PROFFESOR JAY-JOSEPH HAULE
“Sisi kama mabalozi wa Ansaf tulikabidhi saini
za wakulima, kuna kituo kimoja cha radio kinaitwa Farmers Radio, kilifanya
research na wakawatembea wakulima kadhaa, sehemu tofauti tofauti na kuangalia
wakulima wanamatatizo gani na nini kifanyike ili kuwasaidia wakulima wa Tanzania
na Afrika nzima kwa umoja , so mimi kama balozi jana nilichokifanya nilikabidhi
signature za wakulima wa Tanzania zaidi ya milioni 2 , kwa mweshimiwa Rais
Kikwete ambao wengi waliweka matatizo yao ,wameweka hoja zao ambazo
zinawakabili ili kwa upande wa serikali waweze kuzifanyia kazi na pia kumwagiza
Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haende kuliongea hili katika
mkutano mkuu wa Afrika , 2003 walikuwa wanadhamira ya kuwekeza kwenye kilimo,
na mwaka huu 2014 umechaguliwa kama mwaka wa kilimo kwaiyo Rais atakuwa huko
Maputo Msumbiji baadae ,wanamkutano wao , pia tumemwagiza Rais akaliongelee
hili swala la changamoto za wakulima wadogo wa Tanzania na Afrika
nzima’’
AY-AMBWENE YESAYA
“Cha msingi lazima tufanye juu chini kilimo kiwe
juu, kwaiyo Tanzania ni mojawapo ya nchi ambazo hazichangiti asilimia kumi
kwenye kila bajeti ya mwaka kuwekeza kwenye kilimo, kwaiyo ule ujumbe unatakiwa
umshawishi Rais, kuanzia mwaka huu wawe wanatenga asilimia kumi au zaidi ya
asilimia kumi kwajili ya kuwezesha sekta ya kilimo, kingine ni kwamba ku,motivate
vijana kwenda kwenye kilimo kwa sababu kilimo kinakaa kama nicha watu masikini
au kama cha wazee, wakati vijana tukiweza kujikita kwenye kilimo mpaka kufika
2030 tutakuwa tupo mbali sana, kwaiyo ujumbe wangu nilimkabidhi Rais akaupokea,
na akatoa speech yake, akasema ujumbe umefika, Pia akasema kabla ata hajaenda,
kwa sababu anamkutano huko Malawi na Equatorial Guinea juni 25 mpaka juni 27
,atapeleka ujumbe kwa wahusika na litashughulikiwa”
JUSTIN BIEBER, MAEPOST PICHA HII NA KUIONDOA HARAKA BAADA YA MUDA MFUPI
Featured News![]() |
| JUSTIN BIEBER |
Kuna Uwezekano Mkubwa kabisa, Justin Bieber
hawezi kufuta Penzi la Selena Gomez katika Moyo Wake..Sikia Hii..
Mnamo Hivi majuzi Tu, The majanga Boy Justin
Bieber Himself, alipost Picha ya aliyekuwa Mpenzi wake wa Muda Kidogo, SELENA
GOMEZ, na Kisha Kuifuta Ndani ya Muda Mfupi.
![]() |
| PICHA ALIYOPOST JUSTIN BIEBER NA KUIONDOA HARAKA INSTAGRAM |
Bwana Mdogo Bieber hakuishia hapo tu, bali
katika Picha hiyo ambayo ainamuonesha Selena akiwa amemkumbati kwa Hisia Zote,
huku akiweka Maneno yaliyosomeka “OUR LOVE IS UNCONDITIONAL”.
Aidha Sio mara ya Kwanza Justin Bieber Mwenye
umri wa Miaka 20 akionesha Jinsi ambavyo amezama na Kuathirika Haswa katika
Penzi la Selena Gomez mwenye Miaka 21 hivi sasa kupitia account Yake ya
Instagram, ambapo mwezi March alipost Picha ya Ex wake Huyo akiwa katika Usiku
wa Washindi wa Tuzo za Oscar, huku akitia maneno yaliyosomeka “MOST ELEGANT
PRINCESS IN THE WORLD”
Subscribe to:
Posts (Atom)



























