WELCOME TO ..... (KARIBU KATIKA..)
REPIN ROCK CITY
RICK ROSS NA MMG WANATAFUTWA WASHITAKIWE LAKINI HAWAPATIKANI,
Featured News
LONDON, United Kingdoms
The MMG Big Bous-RICK
ROSS (rozay) Membaz wa MMG, Walle na Meek Mill wanasakwa na Promoter mmoja ili
wamlipe Fidia yake, lakini hawapatikani.
Kwa mujibu wa Info za
Uhakika Kutoka TTM, inasemekana kuwa, Promoter huyo anayefahamika kwa jina la
EZECHIE CHRISTIAN kutoka kampuni ya EXECUTIVE, amesema kuwa anataraji kufungua
Kesi ya madai ya USD 200,000 sawa na Takriban Shilingi MILIONI 300 za
Kitanzania, Dhidi ya Rick Ross Kwa Udanganyifu.
Ezechiel anadai kuwa
Rozay na baadhi ya membaz wa MMG walittakiwa kutoa Perfomance kali kunako
Uwanja wa WEMBLEY Jijini London, Mnamo Mwaka 2012, lakini cha ajabu hawakutokea
ingawa walikuwa wameshatanguliza baadhi ya malipo.
Pia ameongeza kuwa,
October mwaka jana, alifungua Mashtaka yake, na kila akijitahid Kumpata Rick
Ross kwa ajili ya Kesi Hiyo, anashindwa kumpata.
Hata Hivyo Ezechie na
Wanasheria wake wamedai kuwa awali walipewa Anunani ya mahali ambako Rozay
alikuwa anaishi, katika Jiji la Miami, lakini walipofika walibaini kuwa katika
Eneo hilo, kuna Biashara ya Vifaa vya umeme Inafanyika.
EMINEM ANARAP KAMA RAPPERS WENGINE AMBAO HAWAKUBALIKI REDION-MASE
Featured News
Muda Mrefu sana umepita tangia Tufahamu kuwa
Rapper Mase ambaye aliwahi kufanya kazi na Bad Boys ya P.DIDY, ameamua kuachana
na game na kuamua Kuokoka huku akiwa Mchungaji wa Kanisa alilokuwa likimilikiwa
na Yeye pamoja na Mke Wake ambaye inasemekana waliachana.
Katika Interview na Jarida la XXL Nchini marekani,
Mase amesema kuwa Albam yake Mpya atakayokuja nayo itafahamika kwa jina la Now
We Even, ambapo amesema ana mpago wa kumshirikisha CAMRON,MEEKMILL, DRAKE na
DIDDY na hata JIGGER
Katika hali iliyowashtua wengi, ni Kufunguka
kuwa hana Mpango wala Hawezi kumshirikisha Eminem kwa sababu ni aina ya Rappers
ambao
walikuwa wakirap hivyo, na hawakukubalika katika Radio .
Hakuishia hapo mase, pia alimchambua Eminem na
kusema Kuwa, wasanii waliokuwa wakichana Flow za Eminem, hawakuwahi kufanikiwa
katika kazi zao, pamoja na Kupata Mwangaza wa kuendeleza Kile walichokuwa
wanakifanya
JUSTIN TIMBERLAKE, NI KAMA DIAMOND: NI KATIKA TUZO ZA BILL BOARD (BILLBOARDS MUSIC AWARDS)
Featured News
LAS VEGAS,Marekani
JUSTIN TIMBERLAKE na
Baadhi ya wasanii wameweza kujiondokea na tuzo za kumwaga kunako BILLBOARD
MUSIC AWARDS.
Kwa Mujibu wa CHIMBUA
CHIMBUA, Justin Timberland aliweza Kunyakua Jumla ya TUZO 7 Kama Platnumz huku
akifatiwa na Wasanii Mbali mbali ambao nao waliondoka na Tuzo Kadhaa.
Tofauti na Justin
Timberlake, Wasanii Wengine kama Eminem, Robin Thicke, Pharell Williams,
waliweza kusepa wakiwa na Tuzo Tofauti ambazo Zimeweza kuwafanya kuwa na
Heshima ya Aina yake hasa Katika Tuzo hizo.
Hata hivyo, kitu ambacho Kiliwafurahisha wengi, Ni performance ya Kibunifu kutoka kwa Mtu aliyefanana na Michael Jackson na Kuwakumbusha Wengi kuhusu Ladha alizokuwa akizifanya marehemu Michael .
Tuzo za Billboards
2014 zilifanyika GRAND GARDEN ARENA, Las
Vegasi, Marekani, huku Perfomance tamu zikishushwa na MR WORLD
WIDE-Pitbull,Katty Perry, Iggy Azaela, na Wengineo.
NICKI MINAJI HAKATI TAMAA…..ANAKUJA NA MKWAJU MWINGINE
Featured NewsLAS VEGAS, Marekani
TUZO za Billboards zilifanyika Usiku wa Jumamosi kule Nchini Marekani ambapo wasanii Kibao walihudhuria.
Lakini TTM tuliweza kupata jambo Jipya kutoka
Kwa mamito wa YMCMB – Nicki Minaji hasa kuhusu Ujio wa Track Yake mpya
inayofahamika kwa Jina la PILLS AND POTIONS ambayoo tunaamini itakuwa
inapatikana kuna album yake ya THE PINK PRINTS.
Aidha Nicki Minaji ameendelea kutirirka kuwa, Ingawa inawezekana akawa anatoa taarifa mape sana,Ila Track Hiyo itaachiwa rasmi ALHAMIS wa Wiki Hii..
Pia Minaji amemalizia kuwa, Mashabiki wake
wanatakiwa kuwa tayari na kuvumilia kidogo, Kwani Albam ya THE PINK PRINT,
itatoka kabla ya Mwaka 2015
WEEKEND YAKO YA LEO IFANYE HIVI:
Featured News
Kuna Muda huwa Tunapata wakati mgumu
sana Zinapoingia Siku za WEEKEND.
Kuna Muda Pia Stress huwa Nyingi
Kila Inapotimia Siku ya Kwanza Ya Weekend
Na kuna baadhi ya watu huwa
Tunaamini kuwa Weekend Bora ni Lazima uwe na Pesa Nyingi ama Ulewe kupita
maelezo,ama Uspend Pesa Nyingi sana.
Lakini kuna jambo la Msingi ambalo
natamani tulifahamu kwa hali na mali.
Tunatamani sana Uifanye Hivi Weekend
Hii ambayo inaanza Leo.
·
Weka
Mipango yako Vizuri
·
Jitahid
Kukutana na Marafiki zako/ Wafanyakazi Wenzako
·
Jitahid
kuzingatia mazingira ya Nyumbani..(fanya marekebisho ya Nyumba, mpangilio wa
Ndani,nk)
·
Epuka
Kulewa/Ulevi kupita Kiasi.
·
Jitahidi
Kutoka Nje ya Nyumbani (kukutana namarafiki maeneo ya Uwazi)
·
Jitahidi
kufanya Kitu Kipya Siku za Weekend
·
Epuka
Stress/Mawazo Mengi Siku zaWeekend.
·
Jitahidi
kujumuika katika Michezo/Shughuli za Michezo
WEUSI: NI PROJECT AFTER PROJECT.
Featured News
DA
ES SALAAM, Tanzania.
Moja kati ya Vibao ambavyo
vinakubalika sana kutoka Kunako Kundi Hili la Weusi ni pamoja na NJE YA BOX,
BEI YA MKAA na Vinginevyo ambavyo vimewafanya wakuchukua Tuzo ya KTMA-2014
katika Kipengere cha Kundi Bora.
Wakishusha One Of The Interview
Kunako Kituo Kimoja chha Radio, Joh Makini ambaye ni Moja kati ya Membaz wa
Familia ya Weusi amesema kuwa, kwa upande wao wanazingatia sana kufanya kazi
kwa ushirikiano Mzuri na kwa Mpangilio Mzuri.
Pia Joh ameongeza kuwa, ubora wa
Kazi zao, na kujiamini, ni kitu ambacho hakiwaogopeshi kuachia Projects zao
ambazo huzitoa kwa Utaratibu maalum.
Pia Joh ameongeza kuwa, Weusi kama
Weusi hawaaoni Kitu cha Kuwazuia kufanya Projects zao pamoja na kusukuma kundi
ama familia yao kwa Pamoja, sanjari na kuingiza solo Projects.
Joh ambaye amewahi kuzigusa hisia za
Mashabiki wengi wa Muziki wa Hip Hop Nchini kupitia Mikwaju kama Vile BAI BAI,
SHOW ZA JOH, na nyinginezo kibao, amesma kuwa sasa hivi yeye na Nick
wanatengeneza Project ya JOH MAKINI Vs NICKI WA PILI ambayo ni kazi isiyohuska
na Kundi lao, na Inafanywa na Producers Tofauti
Subscribe to:
Posts (Atom)


























