WELCOME TO ..... (KARIBU KATIKA..)
REPIN ROCK CITY
MFUNGWA ALIYEANDIKA NYIMBO 3000 AKIWA GEREZANI, AMEWAFUNGULIA MASHTAKA JAY Z, RIHANNA, KANYE WEST, BEYONCE NA CHRIS BOROWN, KWA KUMUIBIA NYIMBO
Featured News
Kama ambavyo tumeweza
kukuambia jana, moja kati ya watu ambao wanatafunwa na Mbwadidi la Wizi wa
Nyimbo, Idea, Beats na kadharika, ni wasanii wakubwa, tena wenye Majina na
Heshima Kubwa tu, kunako music industry Ulimwenguni Kote
Baada ya jana kukupa
Mtonyo kuwa DJ KHALEED yuko kunako Msala Mzito wa kuiba idea ya Cover ya Msanii
Mwingine na Kuitumia, This Time TTM tumenyaka Nyingine kuwa Kuna Mfungwa Mmoja
ambaye amewafugulia mashtaka JAY Z, KANYE WEST na RIHANNA kwa Madai ya kuibiwa
Ngoma Yake.
Unaweza ukajiuliza
kuwa Mchakato huo Ukoje, ila kwa Mujibu wa data za kutosha kutoka Kunako
KITENGO CHIMBUA CHIMBUA, inasemekana kuwa Mfungwa Huyo kutoka Jijini CALIFONIA,
anayefahamika kwa Jina la RICHARD DUPREE, anaweza kuwa mmoja kati ya Waandishi
wa Nyimbo wa Kuogopwa katika Karne Yetu,
baada ya Kudai kuwa, JAY Z, KANYE WEST, RIHANNA, BEYONCE na CHRIS BROWN
wamemuibia Baadhi ya Nyimbo kati ya Mikwaju 3000 aliyoiandika akiwa Jela.
Kwa Mujibu wa Maelezo
ya Mfungwa Huyo, Amesema kuwa kutokana na Wizi huo ambao anauhakika nao kabisa
ikiwemo Ngoma ya RUN THIS TOWN ya Jay Z, Kanye West na Rihanna, amefungua
Mshtaka ya Madai ya Fidia katika Utumikaji wa Mikwaju yake bila Idhini yake, na
Kiasi ambacho anahitaji ni USD MILLION 2.4, ingwa haitakuwa kazi rahisi kwake
kuzipata hasa katika kipindi hiki.
Lakini KITENGO CHIMBUA
CHIMBUA kimezidi kumimina Ripot kuwa, Dupree anadai kuwa Njia ambazo Zilitumika
kuiba Nyimbo zake ambazo alikuwa akiziandikia GEREZANI, ni Mashirika ya
Kiusalama Nchini Humo, CIA,JESHI LA POLISI na FBIYONCE kupata Nyimbo hizo.
Mashtaka hayo
yamefunguliwa katika Mahakama ya Mashariki Mwa CALIFONIA, mnamo APRIL 21
KESI YA CHRIS BROWN IMEPANGIWA TAREHE YA KUSIKILIZA
Featured News
Pretty Boy Chris Brown Hivi sasa ameshaspend
Muda wa Wiki saba Nyuma Ya Nondo yaani Gerezani, kutokana na Kukiuka Masharti
ya
Rehab pamoja na Adhabu ambazo zilikuwa zikimkabili.
Siku ya jana Chris Brown alitokea kunako
Mahakamani ili kufahamu hatma ya Kesi yake kusikilizwa pamoja na hukumu
Kutolewa
Akiwa Mnyonge, amedhoofika Kidogo, Chris Brown
alionekana akiwa Mwenye nidhamu huku akipokea maamuzi kutoka mahakamani juu ya
kusikilizwa kwa Kesi yake
Kwa Mujibu wa Mahakama, Breezy ambaye amewahi
Ku-Hit na Mikwaju kadhaa ikiwemo BEAUTIFUL PEOPLE, YEAH X 3, Kesi yake
itasikilizwa Mnamo MAY 9 Mwaka Huu, lakini Breezy bado atabaki Jela, kunako
Gereza la LOS ANGELS (L.A)
Breezy amekuwa Nyuma ya Nondo kuanzia MARCH 14
baada ya Kutimuliwa Rehab, na endapo atabainika kuwa na Makosa, basi huenda
akahukumiwa Kifungo cha Miaka 4 Jela
PICHA: WALA USIPITWE NA HILI.....HEBU TIZAMA MWENYEWE HAPO
Featured Mwanza News
Video making ya wimbo huu imefanyika
chini ya director EDDYSON wa Creative Mind Tz. Utengenezaji wa video hii
umekamilika tar 27/4/2014...... video hii inategemewa kutoka mapema mwezi ujao
kabla mwezi wa 6
STAY CONNECTED na TTM ili kufahamu Video Hii iko Vipi. Ni Noumar Mazee...Pia Soon Tutakuletea TEASER ya Video hii kutoka kwa Msanii THE KISSER-STRAWBERY
STAY CONNECTED na TTM ili kufahamu Video Hii iko Vipi. Ni Noumar Mazee...Pia Soon Tutakuletea TEASER ya Video hii kutoka kwa Msanii THE KISSER-STRAWBERY
Subscribe to:
Posts (Atom)














.jpg)

.jpg)
