WELCOME TO ..... (KARIBU KATIKA..)
REPIN ROCK CITY
YOUNG & WILD: KUTANA NA CHARLEE BEST NEXUS, PRODUCER MWENYE MIAKA 17, LAKINI NI MOTO WA KUOTEA MBALI ROCK CITY
Featured
TUMEZOEA
Kuwa,
kuna Mqproducer hapa Nchini Tanzania Wenye Umri Mdogo, lakini Asilimia kubwa ya
Umri huo ni Kuanzia Miaka 25 na Kuendelea.
Lakini Hii Leo, kuna huyu ambaye unaweza
ukamshangaa kwaUmri alio nao.
HE goes By The name CHARLEE BEST NEXUS, ambaye
ni Young Producer Kutoka SILCA MUSIC PRODUCTION, inayopatikana JIJINI MWANZA,
maarufu kama ROCK CITY
Ameshatengeneza Mikwaju kadhaa sana ya Kumpa
Heshima tangia amejua Kutengeneza Mikwaju Kadhaa.
CHARLEE BEST anatoka katika Familia Ya Vipaji
Twaweza kusema hivyo, kwa sababu, Baba yake amejihusisha na Suala la Muziki
Pia, samba mba na Uchoraji.
Kaka Yake BROWN BEST, Ni Muimbaji Mzuri wa
Muziki aina ya REGGE, lakini Pia ni Designer Mzuri, na Hivi sasa ni GRAPHIC
DESIGNER wa THE ROCK CITY EYE MAGAZINE ambayo inapatikana Jijini Mwanza Pia.
Ili Kujua anachokifanya, Chek PICHA ZAKE, the
CLICK kuisikiliza Ngoma yake Huko Chini
HII NDIYO LIST YA MIKWAJU ITAKAYOPATIKANA KATIKA ALBAM YA YMCMB- RISE OF AN EMPIRE
Featured
WAKATI BADO tunasubili ALBAM ya Rise Of An
Empire kutoka kwao YMCMB, ambayo Itaingia Sokoni Rasmi, Hatimaye TTM tumenyaka
Mikwaju ambayo itapatikana katika Albam Hiyo.
ALBAM Hiyo Itasheheni Mikwaju Mikali 12, huku
Baadhi ikifanya Vizuri hivi sasa katika Music Industry, ikiwemo WE ALRIGHT……
Kama Hujapata Kufahamu Ni Mikwaju ipi
tunaizungumzia, Basi Iko Kama Ifuatavyo
1. We
Alright — Euro Feat. Birdman & Lil Wayne
2. Trophies
— Drake
3. Bang
— Lil Twist Feat. Euro & Cory Gunz
4. Senile
— Tyga Feat. Nicki Minaj & Lil Wayne
5. Induction
Speech — Euro
6. One
Time — Lil Twist Feat. Tyga & YG
7. Hittin
Like — Shanell Feat. Chanel West Coast
8. Lookin’
Ass — Nicki Minaj
9. Fresher
Than Ever — Gudda Gudda Feat. Jae Millz, Flow, Mack Maine & Birdman
10. Back
It Up — Lil Twist Feat. Tyga
11. Moment
— Lil Wayne
12. You
Already Know — PJ Morton Feat. Mack Maine, Gudda Gudda & Jae Millz
UJIO WA RAY C UNAKISHINDO CHAKE
Featured Music
LONG WITING kutoka kwa Mwanadada Ray C tangia
aachane na Ishu za matumizi ya madawa ya Kulevya na Kurejea katika Muziki hapa
Nchini, inaweza kukatika Any time kuanzia hivi sasa.
Katika harakati hizo zaKurejea upya Kwenye GAME,
RAY C, Originally REHEMA CHALAMILA amesema kuwa atakuja na Vitu Viwili kwa
Mpigo ambavyo ni ALBAM Nzima pamoja na FOUNDATION yake, ambayo itakuwa
ikijihusisha na masuala ya Muziki hasa kwa Vijana, pamoja na maisha kiujumla.
TOFAUTI na Mawazo ya watu Kuwa ALBAM Hailipi kwa
hivi sasa, Mwanamama huyo ambaye alipata Heshima ya Dhati kupitia Kiuno chake,
amesema yeye atashusha ALBAM, ili kuwapatia Kile ambacho ni Bora, hasa
mashabiki wakw waliommis kwa Muda Mrefu sasa.
Aidha Mkali huyo wa UKO WAPI, amesema kuwa
ataachia Mikwaju kadhaa kabla ya Kuachia ALBAM, ambayo hivi sasa Bado
anaikamilisha, huku akipanda Jukwaani kuonesha Jinsi alivyo Mzima katika
Masuala yake yaliyompa TITLE hapa Nchini.
EMINEM AZUNGUMZIA KITENDO CHA 50 CENTS KUONDOKA KATIKA LEBO YAKE.
Music
KITENDO Cha 50 CENTS Kuondoka Shady
Records, Aftermath Entertainment na Iterscope Records, Zimewastua Wengi sana
ambao walikuwa wanafahamu uhusiano mzuri na wa karibu baina ya 50 Cents
Mwenyewe, Eminem na Dr.Dre.
Lakini baada ya Kutoa Taarifa
hapo jana Kuwa ameamua Kutemana na Kampuni hizo ambazo ndizo zimemtoa katika
Music Industry Ulimwenguni kote na Kufikia hapo alipo hivi sasa, Mmoja kati ya
Wamiliki wa Lebo hiyo ambayo ilikuwa ikimsimamia 50 Cents na kazi zake kwa Muda
sasa, EMINEM, amesema kuwa anajivunia Kumfahamu 50 Cents, na Kitendo cha yeye
kuondoka kwao, hakitaathiri Urafiki wao wa muda Mrefu.
Aidha Emenem ambaye pia
anafahamika kwa jina la Slim Shaddy, amesema Kuwa, yeye pamoja na SHADY RECORDS,
wanajivunia Kuwa sehemu ya Mchango wa Mafanikio ya 50 Cents katika Muziki.
Tofauti na hapo, Eminem aliongeza
kuwa, Kama isingekuwa uwepo wa 50 Cents katika Studio Hizo, basi hata Shady
Records isingekuwepo hapo Ilipofikia.
Kwa Upande wake 50, amesema kuwa
amekuwa na Muda Mzuri sana wakati akifanya kazi na Shady/Aftermath/ na
Interscope Records, huku akiwashukuru sana Dr. Dre na Eminem maana amejifunza
Mengi kutoka Kwao. Lakini hivi sasa anahitaji kwenda sehemu Nyingine na
Kujifunza Mtazamo Mpya.
50 Cents anaelekea katika Studio
za Caroline,iliyotokana na CAPITOL RECORDS.
Ingawa Hivi sasa anajiandaa
kushusha Albam yake Mpya ya THE ANIMAL AMBITION, Albam ya GET RICH OR DIE
TRYING ambayo ilikuwa na Mikwaju kama Vile IN DA CLUB, MANY MENT, P.I.M.P,
ilisukwa Vizuri na Lebo ambayo anatemana nayo
NDIO MWISHO WA SAUTI SOUL?..AU KUNA NINI KINACHOENDELEA
Music
SAUTI SOUL Kutoka Nchini Kenya, Limekuwa ni
kundi ambalo wengi wamevutiwa nalo huku wao wakipata mafanikio makubwa sana
barani Afrika.
Kwa Mujibu wa Chanzo ambacho kilipiga Story na
Standard Media Nchini Humo, inasemekana kuwa, kuna uwezekano Mkubwa wa Memba wa kundi hilo kufanya Kazi za Peke yao,
yaani SOLO,ukizingatia hawajafanya hivyo kwa Muda Mrefu.
Ingawa Memba Wote wa SAUTI SOUL awali walikanusha uvumi kuwa kundi hilo
limevinjika, hivi sasa wamekuwa wawazi kuwa, kila memba atashiriki katika
Project yake Mwenyewe, ili kucheki uwezo wao, pamoja na Kupeana uhuru katika
baadhi ya kazi na uwezo wao nje ya Kundi.
DELVIN MUDIGI ambaye Pia ni Memba wa Kundi hilo,
amesema kuwa ameshiriki kazi mbali mbali za Kundi, lakini hivi sasa anatakiwa
kupima Uwezo wake hasa kimuziki, nje ya kundi, lakini Kundi bado Liko poa.
The same to POLYCARP FANCY FINGERS,
amedhihirisha kuwa Kundi bado lipo, na Still litazidi kuwepo, lakini kwa Hivi
sasa, wameamua kwa pamoja na kwa makubaliano, kufanya kazi za Pekeyao, hasa kwa
Kila Memba
Subscribe to:
Posts (Atom)




















