WELCOME TO ..... (KARIBU KATIKA..)
REPIN ROCK CITY
RAPA T.I AMZAWADIA MWANAE WA MIAKA 14, GARI.
KAMA Inawezekana, hebu jaribu Kufanya Chochote
ambacho ni kizuri kwa Mtoto wako ili atambue Jinsi unavyopigana Kutafuta
Mkwanja Kwa ajili Ya Furaha ya maisha yake.
Just Like TITLE linavyojieleza, RAPA T.I
amemnunulia Zawadi ya gari Mtoto wake ambaye ametimiza Umri wa Miaka 14 Kwa
hivi sasa.
Licha ya Kwamba Bwana Mdogo huyo anayefahamika
kwa Jina la HARRIS, hawezi Kuliendesha Leo wala kesho, bali ni mpaka Miaka 4
Ijayo, T.I aluidhirisha Kuwa, anaifahamu furaha ya Mtoto wake huyo, na Meandaa
kitu hicho kwa ajili ya matumizi yake ya Leo na hata pale atakapokuwa huru
Kuendesha gari hilo, umri Utakapotimia.
T.I ana watoto Sita Mpaka hivi sasa, ambao wote
anawatimizia Kila wanachiohitaji, na hajawahi kuingia katika malalamiko yoyote
kuhusu Matatizo ya kimalezi.
DRAKE AMEDHIHIRISHA NO BODY LIKE FATHER
KAMA Humpendi Baba Ako, basi, kuna wengine ambao
wanawapa Credit zao Ukizingatia Historia zao.
Tumekuwa Tukiona Asilimia Kubwa ya CELEBRITIES
Duniani kote wakichora tatoo ya Picha za mama zao pamoja na Wapenzi wao, lakini
Kwa Rappa Drake Imekuwa Tofauti Kidogo.
TTM tumeshuhudia Moja ya Tatoo za Drake ikiwa Ni
Sura Pure ya baba Yake Mzazi GRAHAM. Tofauti na hapo, Unaweza kubaliana na Sie
kuwa, Drake anampenda sana baba ake
Mzazi, hasa baada ya Kuandika Lyrics kuhusu Mzee huyo, katika Track ya WORST
BEHAVIOR, na Baba yake huyo Tena Kuonekana Katika Video Hiyo.
Kwa Mtazzamo wa TTM, DREEZY Ni Moja kati ya
Wasanii anaewakubali sana wazazi wake na Hata Kuwapenda Kwa Dhati, kwani hata
Katika Video ya STARTED FROM THE BOTTOM, mama Yake Mzazi alionekana akiwa ameng’aa
Ndani ya Coti Jeupe Kubwa la baridi.
NO BEEF..NI KAZI KWENDA MBELE. 50 CENTS NA JADAKISS KUSHUSJHA KOLLABO.
50 CENTS BADO anadhihirisha kuwa Project yake ya
ANIMAL AMBITION itakuwa hot huku ikitarajiwa kumrudisha Katika Game.
TTM tumefukunyua na Kubaini Kuwa Rapa Wa In Da
Club, JACKSON CURTIS , 50 CENTS Himself, anatarajiwa Kushusha “Collable”
Nyingine na Moja kati ya Mahasimu ama maadui zake wa Kipindi Cha Nyuma.
Baada ya Kushusha Mzigo na Fat Joe huku
Ikiaminika Kabisa kuwa Huu unaweza Ukawa ni Mwaka wa 50 Kumaliza mabeef yake,
Siku Chache zilizopita, aliweza Kupost Picjha ambayo inamuonesha Yeye, Jadakiss
pamoja na Styles P.
Aidha Mpaka hivi sasa, wengi wanatabiri Ujio Huo
Kuwa Zaidi ya Hot, ukizingatia STYLES P akikutana na JADAKISS katika Track
Moja, lazima wafanye La Kufanyika.
Albam ya ANIMAL AMBITION itakuwa ni ALBAM ya
Kwanza Tanmgia Ukimya Wa FIF na Kukumbana na Mishe Kibao, huku akijitahidi
kujaribu Huku na kule ili kurudisha Hadhi yake.
Subscribe to:
Posts (Atom)


















