REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

PICHA: TUJIKUMBUSHE KILICHOJIRI KATIKA TUSKER PROJECT FAME 6 "TAKE THE STAGE"

8:40:00 PM Add Comment


















HOPE WA BURUNDI NDIYE MKALI WA TUSKER PROJECT FAME 6.

5:36:00 AM Add Comment



Jana ilikuwa ni Wakati Mgumu sana kuweza kutabili nani ataibuka Kinara wa TPF Season 6 “Take The Stage”, baada ya washiriki Wote walioingia Fainali kuwa Hatari katika kuonesha vipaji Vyao.

Lakini Kubali ukatae, ilikuwa ni lazima apatikane mtu ambaye angeondokoa na Mkwanja mrefu ambao ulikuwa Umeandaliwa kwa ajili ya Mshindi.

Kama ambavyo wengi walitabiri, Mshiriki pekee aliyekuwa akiiwakilisha Nchi ya Burundi, HOPE, ndiye aliibuka Kinara Wa Shindano hilo lililodumu kwa Muda wa Wiki 8, huku akiwapiga Chini Fainalists Wenzake ambao pia walikuwa ni wachungu balaa huku wakiamini kuchukua Fedha hizo nyingi.


AMOS na JOSH kutoka Kenya ndiyo walishika nafasi ya Pili, DEISY EJANG Kutoka Uganda, alidaka nafasi ya Tatu, na HISIA kutoka Home sweet home Tanzania, akikamata nafasi ya NNe

Ushindi ulianza kutabirika kwa Hope ikiwa ni Ndani ya Wiki ya Nne tu, baada ya kujizolea mashabiki kupitia Vocal lake la kipekee, lilimfanya awe kipenzi cha watu.



TUSKER PROJECT FAME SEASON 6 “TAKE THE STAGE” imemalizika ikiwa Chini ya Principal ERICK WAINANA, ambaye aliifanya kuwa tofauti, na kuwa na Ushindani ambao haujawahi kutokea tangia Ianze.

Mchakato huo Ulianza na washiriki 15, walioanza kusukamana kuanzia OCTOBA 18.

BRAND NEW & HOT TRACK: HUU NDIO MKONO MWINGINE WA DEEY CLASSIC...HATARI MAZEE

12:52:00 AM Add Comment
LADIES AND GENTZ

Mwanza Hip hop Inapelekwa kunakostahili kwa hivi sasa.
Hawa Ni Vijana Wapya, Wenye hasira Mpya, katika Kizazi hiki Kipya Cha Hip Hop jijini Mwanza na Tanzania kiujumla.

Jamaa Wanafahamika kwa majina yao kama kawaida. Ni NCHAMA, BRITON na K-STAR, na MKWAJU unafahamika kwa Jina la TEGA SIKO.
Kama Umezoea kusikia HIP HOP za Kujigamba, Kujinadi, na Hata Kurumbana, Mazee, wadogo zangu hawa  wak Totally Different.
Mkwaju Umesukwa na yule Yule DEEY CLASSIC kutoka paleeee, REVOLUTION SOUND.
Thanx alot kwao DEEY CLASSIC na CHAMBO RABA RABA (REVOLUTION SOUND), THE ROCK CITY EYE MAGAZINE, na METRO FM 99.4 MHz (Kupitia Weekend Battle Ya Jam Session)
Sikiliza, na kama Vipi, DOWNLOAD na UONDOKE NAYO

NAS KUFUNGUA DUKA LA KUUZA RABA( SNEAKERS)

2:05:00 AM Add Comment



Tumekuwa tukiskia story Nyingi kuhusu Maceleb Kibao Nchini marekani wakiingia kunako Madili ya KutangazaBidhaa za kampuni Fulani labda ya Nguo, magari na hata Viatu. Lakini kwa Mtu mzima NAS, mabo yamekuwa Tofauti Kidogo.

Kupitia Account yake ya Instagram, Nas ameothibitisha kufungua Duka la Viatu aina ya Rabba, ambavyo vitakuwa ni sehemu kubwa ya Ujasiriamali tofauti na Shughuli za Muziki

Kwa Mujibu wa Picha Moja wapo katika Account Hiyo, Nas ameonekana kuipeleka Next Level Biashara ya Sneakers tofauti na wasanii wengine wote, baada ya kuonekana kujenga Duka ambalo litatumika kuuza Sneakers Hizo, litakalopatikana LAS VEGAS , Marekani.
Ili Kuondoa utatakuhusu Hilo, NAS alipost kabisa maneno kuwa, DUKA LANGU LA SNEAKERS NDANI YA LAS VEGAS, LINAKUJA HIVI KARIBUNI”


Mnao Miaka ya Nyuma, Nas amewahi Kupiga Mzigo na Kampuni kama Vile ya FILA ambayo ilimfanya Kuwa Balozi wa FILA ITALIA FOOTWEAR COLLECTION, jambo ambalo limempatia Uzoefu wa hali ya juu mpaka kufikia Uamuzi anaoufanya Hivi sasa.

MNADA BANNER