WELCOME TO ..... (KARIBU KATIKA..)
REPIN ROCK CITY
HOPE WA BURUNDI NDIYE MKALI WA TUSKER PROJECT FAME 6.
Jana
ilikuwa ni Wakati Mgumu sana kuweza kutabili nani ataibuka Kinara wa TPF Season
6 “Take The Stage”, baada ya washiriki Wote walioingia Fainali kuwa Hatari
katika kuonesha vipaji Vyao.
Lakini
Kubali ukatae, ilikuwa ni lazima apatikane mtu ambaye angeondokoa na Mkwanja
mrefu ambao ulikuwa Umeandaliwa kwa ajili ya Mshindi.
Kama
ambavyo wengi walitabiri, Mshiriki pekee aliyekuwa akiiwakilisha Nchi ya
Burundi, HOPE, ndiye aliibuka Kinara Wa Shindano hilo lililodumu kwa Muda wa
Wiki 8, huku akiwapiga Chini Fainalists Wenzake ambao pia walikuwa ni wachungu
balaa huku wakiamini kuchukua Fedha hizo nyingi.
AMOS
na JOSH kutoka Kenya ndiyo walishika nafasi ya Pili, DEISY EJANG Kutoka Uganda,
alidaka nafasi ya Tatu, na HISIA kutoka Home sweet home Tanzania, akikamata
nafasi ya NNe
Ushindi
ulianza kutabirika kwa Hope ikiwa ni Ndani ya Wiki ya Nne tu, baada ya
kujizolea mashabiki kupitia Vocal lake la kipekee, lilimfanya awe kipenzi cha
watu.
TUSKER
PROJECT FAME SEASON 6 “TAKE THE STAGE” imemalizika ikiwa Chini ya Principal
ERICK WAINANA, ambaye aliifanya kuwa tofauti, na kuwa na Ushindani ambao
haujawahi kutokea tangia Ianze.
Mchakato
huo Ulianza na washiriki 15, walioanza kusukamana kuanzia OCTOBA 18.
BRAND NEW & HOT TRACK: HUU NDIO MKONO MWINGINE WA DEEY CLASSIC...HATARI MAZEE
LADIES AND GENTZ
Mwanza Hip hop Inapelekwa kunakostahili kwa hivi sasa.
Hawa Ni Vijana Wapya, Wenye hasira Mpya, katika Kizazi hiki Kipya Cha Hip Hop jijini Mwanza na Tanzania kiujumla.
Jamaa Wanafahamika kwa majina yao kama kawaida. Ni NCHAMA, BRITON na K-STAR, na MKWAJU unafahamika kwa Jina la TEGA SIKO.
Kama Umezoea kusikia HIP HOP za Kujigamba, Kujinadi, na Hata Kurumbana, Mazee, wadogo zangu hawa wak Totally Different.
Mkwaju Umesukwa na yule Yule DEEY CLASSIC kutoka paleeee, REVOLUTION SOUND.
Thanx alot kwao DEEY CLASSIC na CHAMBO RABA RABA (REVOLUTION SOUND), THE ROCK CITY EYE MAGAZINE, na METRO FM 99.4 MHz (Kupitia Weekend Battle Ya Jam Session)
Sikiliza, na kama Vipi, DOWNLOAD na UONDOKE NAYO
NAS KUFUNGUA DUKA LA KUUZA RABA( SNEAKERS)
Tumekuwa tukiskia story Nyingi
kuhusu Maceleb Kibao Nchini marekani wakiingia kunako Madili ya KutangazaBidhaa
za kampuni Fulani labda ya Nguo, magari na hata Viatu. Lakini kwa Mtu mzima
NAS, mabo yamekuwa Tofauti Kidogo.
Kupitia Account yake ya Instagram,
Nas ameothibitisha kufungua Duka la Viatu aina ya Rabba, ambavyo vitakuwa ni
sehemu kubwa ya Ujasiriamali tofauti na Shughuli za Muziki
Kwa Mujibu wa Picha Moja wapo katika
Account Hiyo, Nas ameonekana kuipeleka Next Level Biashara ya Sneakers tofauti
na wasanii wengine wote, baada ya kuonekana kujenga Duka ambalo litatumika
kuuza Sneakers Hizo, litakalopatikana LAS VEGAS , Marekani.
Ili Kuondoa utatakuhusu Hilo, NAS
alipost kabisa maneno kuwa, DUKA LANGU LA SNEAKERS NDANI YA LAS VEGAS, LINAKUJA
HIVI KARIBUNI”
Mnao Miaka ya Nyuma, Nas amewahi
Kupiga Mzigo na Kampuni kama Vile ya FILA ambayo ilimfanya Kuwa Balozi wa FILA
ITALIA FOOTWEAR COLLECTION, jambo ambalo limempatia Uzoefu wa hali ya juu mpaka
kufikia Uamuzi anaoufanya Hivi sasa.
PHARRELL WILLIAMS HATORAP KATIKA ALBAMU YAKE MPYA
The
Best Producer na the Real MC, Pharrell Williams, amesema kuwa kamwe haitosikika
Kitu Inayoitwa Rap katika Albamu yake Hii mpya inayokuja soon.
Katika
maelezo yake, Pharrell amesema kuwa, hivi sasa amekuwaso Busy akishughulikia
Album Hiyo ambayo itafahamika kwa jina IN MY MIND, ambayo pia aliwahi kuifanya
mnamo mwaka 2006, ingawa katika Project hiyo hatokuwa akirap kama ambvyo
ilikuwa katika Project ya Awali.
Pia
Pharrell aliongeza kuwa anapenda sana Kurapp lakini Safari hii, hatosikika
akirap katika Kitu hicho anachokiandaa.
Sababu
Kubwa ya kutokurap, Pharell amesema kuwa, Wakati anafanya IN MY MIND ya 2006,
alikuwa na Umri wa Miaka 30, lakini kwa hivi sasa anaumri wa Miaka 40, na
hafanyi Tena Rap
IN
MY MIND ya 2006, Mikwaju kadhaa iliweza kuiendesha Dunia, Mfano CAN I HAVE IT
alomshirikisha GWEN STEPHANIE, na hivi majuzi, ameshirikishwa na ROBIN THICKE
katika Wimbo wa BLURRED LINE ambao unakick balaa kunako Ulimwengu huu.
Subscribe to:
Posts (Atom)



















